Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Hio ni mada nyingine. Mwambieni Mbowe arudishe hela WAFANYAKAZI wetu.

Kumbe wewe ni mwajiri na fisadi? Naona umetumia wafanyakazi wetu, kwa bahati mbaya au umepitiwa? Kuna vigezo vingi vya kuendelea kumuamini Mh. Mbowe kwa kujitosa na kwa hali na mali kutoa elimu ya umma kwa wa TZ wote 2005 na leo chama chake kimekuwa makini na imara kuliko chama chochote kile kilichowahi kuwa TZ hii. Kukomalia suala hili ni kutaka kupotosha umma na kuutoa kwenye ukweli wa hali halisi ya MAISHA magumu ya MTZ wa leo.
 
Ina maana gazeti tukufu la Mwananchi limebandika crap? Hii kampuni ingekuwa ya RA..........

uliza kwa nini serikali huwa haitoi maamuzi kwa kutumia taarifa za magazeti.

maana si ajabu kesho likatoka na 'kumradhi'

wewe nenda BRELA ndo uje uendelee kutetea mada yako mkuu.
 
Kumbe wewe ni mwajiri na fisadi? Naona umetumia wafanyakazi wetu, kwa bahati mbaya au umepitiwa? Kuna vigezo vingi vya kuendelea kumuamini Mh. Mbowe kwa kujitosa na kwa hali na mali kutoa elimu ya umma kwa wa TZ wote 2005 na leo chama chake kimekuwa makini na imara kuliko chama chochote kile kilichowahi kuwa TZ hii. Kukomalia suala hili ni kutaka kupotosha umma na kuutoa kwenye ukweli wa hali halisi ya MAISHA magumu ya MTZ wa leo.
Kama hivi "visenti" alivyokopa NSSF vimemshinda kurudisha mabilioni yanayokusanywa na TRA angeyafanyaje akiwa Rais wetu?
 
Nimeona hilo tangazo lakini mali kuwa kwenye receivership inamaanisha nini? Inamaanisha kwamba biashara tajwa imeshindwa kuliwa creditors wake kwa kiwango ambacho kimetajwa kisheria.Sasa haki ya kuombwa mali kufilisiwa inaweza kutolewa na mmiliki wa biashara mwenyewe,wakopeshaji wa biashara au mahakama.Sasa katika sheria ya makampuni mtu na biashara yake ni vitu viwili tofauti.Hivyo Mbowe hotel limited kufilisiwa haiusiani na mwenye mali hiyo tajwa moja kwa moja.Hivyo bado anaweza . NIMEKUKUBALI, COMPANY IS A SEPARATE BODY FROM ITS OWNERS,MAMBO YA COMPANY LAW!
 
Hio ni mada nyingine. Mwambieni Mbowe arudishe hela WAFANYAKAZI wetu.

Hizo ni fitna za JK na RAMADHANI DAU..ambaye pia yuko..mkurugenzi mkuu wa NSSF Mafia Development fund..[Kuna habri ndefu hapa ..tunaangalia tu...wanachofanya hawa..wasifikiri hatujui]......
Issue ya hili deni ilishaongelewa huko nyuma ..kwanini hawakumsulubu wanasubiri vugu vugu la kisiasa linawaka ndio wanaleta siasa............

Mwenyekiti wa bodi ya NSSF ni ABOUBAKAR SALIM RAJAB...aliyeteuliwa mwaka jana kuchukua nafasi ya Juma Siraju Kaboyonga....NSSF inawadaiwa wengi mno ambao imeshindwa hata kuwadai ...na ikihisiwa kuwa kuna mikopo inatolewa kisiasa zaidi.......na hata uamuzi wa kumdai mtu huangalia siasa.....

Hii sio ,mara ya kwanza NSSF kutumia chambo ya deni kuchafua wanasiasa ..itakumbukwa kuelekea uchaguzi mkuu 2005....walivyokuwa wakimsakama FREDERICK SUMAYE na deni alilokopa pamoja na kuwa alikuwa mbioni kulipa na alilipa.

NSSF acheni siasa!!!!!!!!!!!
 
Yanayotokea nchi hii naweza kusema mengi ni ya 'kipumbavu'.
Nadhani kwa brain za aina hii, hakika maendeleo tusubiri karne ijayo.

Ni hivyo hivyo waajiliwa wa serikali wakiingia CUF, CDM, nk. wanazushiwa makosa ya kiofisi na kufukuzwa.

Cheyo mapesa naye nyumba yake iliwahi kuuzwa, Mtikila naye hivyo hivyo. Ajabu mpaka leo hii nyumba bado ni zao.
 
PM,
Taratibu zote za kimahakama zimezingatiwa kabla ya kufikia hatua hii ya kutoa Tangazo hili.
 
Bwana Ramadhani Dau akijaribu kuokoa meli inayozama inayokwenda kwa jina la MV JK.

Wapambe wa Mkwere karibuni kwa mashambulizi.
 
Akubali kupoteza mali ili kupigania haki za Watanzania wengi. Lau kama anataka kubaki na mali zake, basi aongoze upinzani kama maigizo ili kuwahadaa wazungu watupe misaada na si vinginevyo. Ni ushauri tuu....
 
Haina tofauti sana na ile ya DOWANS na RA. Hebu angalia RA anavyoshambuliwa yeye badala ya DOWANS. Tuache ubaguzi.

Tofauti ya Mbowe na Rostam ni kuwa Mbowe hakuwahi kukataa kuwa haifahamu MBOWE HOTEL LIMITED lakini Rostam amesikika akisema kuwa haifahamu DOWANS mpaka sasa hivi tunavyoshuhudia kuwa alipewa POWER OF ATTORNEY ya kiasi kikubwa.....meaning kuwa mwanzoni alikuwa anatudanganya na hiyo tu kwa mwanasiasa makini ingetosha kujondoa kwenye siasa na kuomba radhi watanzania.

Vile vile Mbowe hakuwahi kusema kuwa hadaiwi na NSSF, alikubali kuwa anadaiwa na kesi ilikuwa mahakamani kwa kuwa mdai na mdaiwa walishindwa kuelewana kwenye issue ya malipo. Sasa kama mahakama imeamua kufilisi hakuna anayepinga.
 
NOTICE OF APPOINTMENT OF RECEIVER/MANAGER
Notice is hereby to the general that I, Charles Rutayuga Burchard Rwechungura of CRB Africa Legal, Dar es Salaam, was appointed by the National Social Security Fund ("NSSF") to Receiver/Manager of the Mbowe Hotel Limited (the "Company") effective from 25th January 2011
Linaendelea hivo hilo tangazo kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Freeman ameshindwa kuwalipa hawa jamaa au? Tungemkabidhi Nchi mwaka 2005........!

WildCard, yaelekea ulivyoiwasilisha hii...unaonyesha wazi kuwa upo mkondo wa mafisadi, maana hayo maandishi yaliyo na rangi ya majani hapo juu yanakupa sifa halisi ya upande uluipo, ambao ni ishara ya 'kufariki kisiasa na kifikra'

Hii ni kutokana na ukweli kuwa yeye hana mapesa ya kifisadi ya kulipa mafisadi, hao. Wote hao NSSF na wenzao ndio mkono wa CCM, ktk kutumia siasa kuingilia maamuzi ya kibiasha kwa wale wote wanaoonekana kuichanganya.

Ila wezi ni wezi tu...mwezi uliopita, NSSF ilikuwa ktk thread hapa jamvini kuwa kulikuwa na ufisadi wa kutisha....na viongozi wanatumia shirika hili kuchukua makato ya umma 'kwa nguvu', wanafanyia biashara na kukopeshana kifisadi kwa mabilioni bila limits, ila pale inapotokea aliyekopeshwa angalau kidogo sio ktk kundi la mafisadi wenyewe wanavuka mipaka na kuwaandama kwa msukumo wa kisiasa! Ila hata hivyo nguvu ya Mbowe haipo ktk Mbowe Hotels, bali ktk akili na mioyo ya umma. Nguvu hii ya siasa za maji taka zitapita, Mbowe na biashara yake itasonga mbele.

Kwa wanaojua kidogo principles za biashara, kimsingi 'Mbowe ni Mbowe' na 'Biashara yake na yeye ni vitu viwili tofauti. Financial accounting principle No 2; 'Business and Owner are two different entities', While the Businees is 'enternal' the owner 'ceases'.

Kamanda Mbowe, pambana kwa nguvu ya umma, tupo pamoja...na pamoja tutashinda.
 
Kama Mwenyekiti Mbowe hana hali mbaya kifedha kashindwa kulipa tumwambie M.R. J Sabodo, kulipa deni watakuwa wanakatana kwenye mgao wa ruzuku
 
Kama Mwenyekiti Mbowe hana hali mbaya kifedha kashindwa kulipa tumwambie M.R. J Sabodo, kulipa deni watakuwa wanakatana kwenye mgao wa ruzuku
Sabodo anajiandaa kujenga visima 500 vya maji kwenye wilaya zote Tanzania. Huyu Mhindi hana mfanowe kwa Watanzania.
 
Back
Top Bottom