Mbona nilisema kuwa Mwanasiasa ni kitila na ikaja kuwa ni kweli,
kabla ya hapo alikataa sana na hata kusema hakai Southmpton,
leo hii anaweka wazi kuwa ni Mwanasiasa ni jina alilokuwa akilitumia JF na kweli yuko Southmpton, nina PRECEDENCE hiyo.
kama nilimjua akitumia jina la Mwanasiasa hivyo hivyo sasa namjua anatumia ASHA ABDALA.
anayehitaji Evaluation ni Mbowe ambaye kakopa na sasa anakataa kulipa, kasema anaenda kusoma kwa miaka mitatu baada ya mwaka mmoja anarudi na kusema kuwa priority ni chama, jee hakujua kuwa Chama na elimu yake kipi kianze? kapoteza muda na pesa zake. huyu mfanyie Evaluation au kwa vile anakupumulia mgongoni?