Mbowe akataliwa Dar es Salaam! CHADEMA imekufa rasmi....

Nadhani heri Mbowe anayeonekana mitaani kuliko Brother Ndugai ambaye hajulikani hata alipo tangu atolewe nduki kwenye kiti cha kunesanesa
Kwani Ndugai ni mwenyekiti wa chama gani?
 
πŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Duuu KUB kila anapopita familia zinatimka wakidhani gaidi anakuja. Huyu dingi awape mikoba vijana chama kiwe na amsha amsha.
 
Dua la kuku halimpati mwewe shehe
 
Waliofurahia kifo Cha magu huwajui? Si ndo hao wanarudishana chamani. Kila baya mbowe!
Ndio shida yao haya maccm mapumbavu! Hayajielewi hata kidogo, badala ya kuwalalamikia walio muua eti wao wanataabika na walio tabasamu kwa dikteta kuchomoka! Wauane wenyewe kisha wanataka tuomboleze sisi!
Pambaf kabisa hawa vuvuzela
 
Ile chai ya Saa mbili usiku ita cost sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…