huyo Magufuli tushamsahau mmebaki mnashabikia mfu
Papush....halafu jina lako kama la kihindi hindi vile!
Papushikashi , ukiweza toa fafanuzi ya neno ' mfu anayeshabikiwa', labda, unaweza kupata fasili.
- utaona kuwa kawaida binadamu tunasikia, tunaona na kuelewa nini mbele yetu na kwa uelewa huo tunaweza linganisha na kutofautisha.
"Jaribu kupata uelevu ..." alimaka mzee mmoja- leo hii naona niseme haya- kwako.
Mfu huwa hashabikiwi, bali huwa anatukuzwa.
Je unaweza mbeza mfu?
Unawezaje kusema umemsahau-haliwezekani hilo- stop being inconsiderate halafu uwalazimishe wengine wamsahau for what purpose?
ww papushi..unashabikia usahaulifu!
Watanzania hawawezi kumsahau kwani alitenda mazuri kwao, Watanzania wengine hawawezi kumsahahu kwa kuwa alitenda mabaya kwao. Watanzania wengi
walisikia, Watanzania wengi waliona na Watanzania wengi walielewa.
Wacha kushabikia usahaulifu.
Amani ikufikie.