Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Polisi wanasema wamekamilisha uchunguzi,Ila wakimfikisha mahakamani sijui kama kesi itaanza au uchunguzi utaendelea.
Kwa vile tuhuma zile ni nzito na viongozi wetu wametujengea flyover,ni bora apelekwe mahakamani.
Hii ni public trial ambapo wote tutafuatilia yanayotendeka.
Lakini viongozi wetu lazima waelewe ukiwa bulldoze watu,mambo kama haya yanaweza kutokea. Kama unataka justice,hiyo ndiyo justice. Huwezi kumuliza mtu kwa nini amekasirika ulipomtukana?
You can have peace kama ukitambua wewe ulifanya makosa na mimi nilifanya makosa,kwa hiyo tusameheane.