Mbowe aliachiwa huru ndio maridhiano yakafanyika. Kwanini kwa Lissu wanalazimisha maridhiano ndio aachiwe?

Musachawenyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
280
Reaction score
526
Umuofya kwenu?

Mjadala wangu kwa leo ni mfupi sana kama ulivyo katika mada.

Kwamba Samia aliingia madarakani kisha Mbowe akakamatwa kwa kesi waliyosema ni ya ugaidi. Baada ya takribani miezi 8 akaachiwa huru.

Siku hiyo hiyo aliwakimbia Makamanda waliofika nyumbani kwake kumpa pole kupitia geti dogo la nyuma na kwenda Ikulu.

Baada ya kikao chake binafsi na Samia ndio akaanza maridhiano feki ambayo hayakuzaa matunda katika ujenzi wa demokrasia shirikishi.

Swali langu ni kwanini sasa hivi inalazimishwa maridhiano yaanze ndio Lissu aachiwe huru? Wameanza kutumwa vibaraka kama kina Selasini kuonyesha eti Lissu anataka maridhiano yaanze akiwa gerezani.

Wadau naomba maoni yenu kwenye jambo hili. Je wanamuogopa Lissu kuwa kwenye timu ya maridhiano ndio maana wanataka waridhiane asipokuwepo?
 
Umofia kwako pia, hoja kama hii niliwahi kushauri Kama gaidi alisamehewa licha ya kukutwa na Prima Facie, mhaini pia anaweza kusamehewa. Tumuombee msamaha wa 'Kusameheana Kupo' au akomae nao mpaka?

Tatizo ni Lissu hataki ujinga, hataki kusamehewa kwasababu yeye anajihesabu hana kosa, hivyo ameamua kukomaa na haki, kama ni kweli neno tutakinukisha ni uhaini, then ahukumiwe kunyongwa na anyongwe!, na kama sio uhaini ni aachiwe huru bila ya masherti na sio asamehewe as if yeye ni mkosaji.

Kwa vile mtu wa Chadema, aliyeyaua yale maridhiano ya mwanzo ambapo niliuliza watu humu, Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Pamoja na hayo niliwashauri Chadema Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

P
 
Ni lini walikosana?

Kuna mtu afanyi kazi yake.

Tenda haki, ondoa udhalimu
 
Labda usemi umebadlika
Mwanzo ilikuwa Tanzanian gvt doesnt negotiate with inmates ila kwa sasa unakuwa Tanzanian gvt negotiate with inmates.
 
Umuofya kwenu?

Mjadala wangu kwa leo ni mfupi sana kama ulivyo katika mada.

Kwamba Samia aliingia madarakani kisha Mbowe akakamatwa kwa kesi waliyosema ni ya ugaidi. Baada ya takribani miezi 8 akaachiwa huru.

Siku hiyo hiyo aliwakimbia Makamanda waliofika nyumbani kwake kumpa pole kupitia geti dogo la nyuma na kwenda Ikulu.

Baada ya kikao chake binafsi na Samia ndio akaanza maridhiano feki ambayo hayakuzaa matunda katika ujenzi wa demokrasia shirikishi.

Swali langu ni kwanini sasa hivi inalazimishwa maridhiano yaanze ndio Lissu aachiwe huru? Wameanza kutumwa vibaraka kama kina Selasini kuonyesha eti Lissu anataka maridhiano yaanze akiwa gerezani.

Wadau naomba maoni yenu kwenye jambo hili. Je wanamuogopa Lissu kuwa kwenye timu ya maridhiano ndio maana wanataka waridhiane asipokuwepo?
That is obvious mkuu, wanamuogopa jamaa kama cancer
 
Na Yeye kwanini anataka kuachiwa kwanza ndiyo afanye maridhiano?
 
Umofia kwako pia, hoja kama hii niliwahi kushauri Kama gaidi alisamehewa licha ya kukutwa na Prima Facie, mhaini pia anaweza kusamehewa. Tumuombee msamaha wa 'Kusameheana Kupo' au akomae nao mpaka?

Tatizo ni Lissu hataki ujinga, hataki kusamehewa kwasababu yeye anajihesabu hana kosa, hivyo ameamua kukomaa na haki, kama ni kweli neno tutakinukisha ni uhaini, then ahukumiwe kunyongwa na anyongwe!, na kama sio uhaini ni aachiwe huru bila ya masherti na sio asamehewe as if yeye ni mkosaji.

Kwa vile mtu wa Chadema, aliyeyaua yale maridhiano ya mwanzo ambapo niliuliza watu humu, Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Pamoja na hayo niliwashauri Chadema Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

P
Ushauri mzuri. Kama ana makosa wamnyonge na kama wana mashahidi basi kesi iendelee.
 
Kwenye meza ya maridhiano, pande zote zinatakiwa kuwa na parity.
Tafuta video ya Lissu kule mjini youtube akiongelea maridhiano, kwamba walikaa na CCM na kufikia mwafaka mzuri wa namna ya kuridhiana. CHADEMA wakaandika yale makubaliano, wakawapa CCM waridhie na kusaini yale makubaliano, wakati Kinana akiwa Katibu Mkuu, CCM hawakuwahi kujibu yale maandishi mpaka kesho! Tafuta hio video uiangalie
 
Kwa hiyo CCM hawako tayari kwa maridhiano?
 
Kama huyo unayemuita Gaidi ni Mbowe basi unasema uongo maana hajawahi kusamehewa. Hiyo unayoita Prima Facie sio kupatikana na hatia. Mbowe alikataa katakata suala la msamaha. Ndio maana Zitto alipomuombea msamaha alipingwa sana na CDM. Aliachiwa baada ya DPP kughairi kuendelea na kesi na sio kwa msamaha wa Rais.
Tatizo ni Lissu hataki ujinga, hataki kusamehewa kwasababu yeye anajihesabu hana kosa, hivyo ameamua kukomaa na haki, kama ni kweli neno tutakinukisha ni uhaii, then ahukumiwe kunyongwa na anyongwe!, na kama sio uhaini ni aachiwe huru bila ya masherti na sio asamehewe as if yeye ni mkosaji.
Kama nilivyosema awali, hata Mbowe alikataa msamaha. Pamoja na ushujaa wake sidhani kama Lissu atagoma kutoka rumande kama DPP ataghairi kuendelea na kesi. Aidha, hilo la msamaha halina mashiko maana huwezi kumsamehe mtu bila kumtia hatiani. Mimi naona ni maneno tu ya mtaani.
Angeuaje maridhiano ambayo hayajawahi kufikiwa? Na mbona hakuzungumza yote haya kabla ya yeye na wenzake kuhakikishiwa usalama wao wakirudi Tanzania? Mbona hakukataa kuonana na Samia alipokuwa Ubelgiji? Yote haya ni self serving exercise maana tayari yeye na wenzake walikuwa na nia ya kumpindua Mbowe. Ni hypocrisy ya hali ya juu.
Hamna mtu yeyote wa CDM ambae angeweza kuwaingiza Ikulu chini ya mfumo uliokuwepo wakati ule. Lissu alikuwa asset kwa sababu angeweza kupata kura nyingi dhidi ya Samia. Kura hizo zingewawezesha kupata wabunge na ruzuku. Uwepo wao Bungeni pamoja na ruzuku ungewawezesha kutoa ushindani mkubwa kwa CCM 2030 ambayo bila shaka itakuwa imegawanyika katika makambi ya wanao ona wanastahili urais. Kuwa na wabunge kungewawezesha kutoa shinikizo zaidi kuhusu mabadiliko yanayo hitajika nchini. Yote hayo sasa ni nadharia maana CCM iko katika nafasi nzuri zaidi ya kushinda urais 2030.
Amandla...
 
Tafuta video ya Lissu kule mjini youtube akiongelea maridhiano, kwamba walikaa na CCM na kufikia mwafaka mzuri wa namna ya kuridhiana. CHADEMA wakaandika yale makubaliano, wakawapa CCM waridhie na kusaini yale makubaliano, wakati Kinana akiwa Katibu Mkuu, CCM hawakuwahi kujibu yale maandishi mpaka kesho! Tafuta hio video uiangalie
Kwa kifupi, hapajawahi kuwa na maridhiano.

Amandla...
 
Umuofya kwenu?

Mjadala wangu kwa leo ni mfupi sana kama ulivyo katika mada.

Kwamba Samia aliingia madarakani kisha Mbowe akakamatwa kwa kesi waliyosema ni ya ugaidi. Baada ya takribani miezi 8 akaachiwa huru.

Siku hiyo hiyo aliwakimbia Makamanda waliofika nyumbani kwake kumpa pole kupitia geti dogo la nyuma na kwenda Ikulu.

Baada ya kikao chake binafsi na Samia ndio akaanza maridhiano feki ambayo hayakuzaa matunda katika ujenzi wa demokrasia shirikishi.

Swali langu ni kwanini sasa hivi inalazimishwa maridhiano yaanze ndio Lissu aachiwe huru? Wameanza kutumwa vibaraka kama kina Selasini kuonyesha eti Lissu anataka maridhiano yaanze akiwa gerezani.

Wadau naomba maoni yenu kwenye jambo hili. Je wanamuogopa Lissu kuwa kwenye timu ya maridhiano ndio maana wanataka waridhiane asipokuwepo?
Kama maridhiano ni ya kweli na yana lengo la kujenga demokrasia, kwa nini yawe na masharti ya mtu kubaki gerezani au kuachiwa kwanza? Maridhiano ya kweli yanahitaji uwazi, usawa na ushiriki wa wahusika wote muhimu

Tundu Lissu ni sehemu ya uongozi wa CHADEMA, ni muhimu watu kuhoji kwa nini asiwe sehemu ya mazungumzo yanayohusu mustakabali wa chama na nchi. Badala ya propaganda na kauli za watu binafsi, Watanzania wanahitaji kuona mchakato unaojengwa juu ya haki, utawala wa sheria na nia ya dhati ya kupata suluhisho la kudumu. Watanzania wanataka suluhisho la kudumu sio lile la mara ya kwanza lilomhusisha Mbowe na Rais Samia ambalo halina maana yoyote mpaka leo.
 
Back
Top Bottom