Kinachonishangaza ni Chadema tu ndio wanazungumzia maridhiano.Labda usemi umebadlika
Mwanzo ilikuwa Tanzanian gvt doesnt negotiate with inmates ila kwa sasa unakuwa Tanzanian gvt negotiate with inmates.
Mbona akina CHAUMA, NLD na wenzao ndio wanaoshiriki maridhiano? Hata hii ya juzi kule visiwani, baada ya ACT kusaini makaratasi, vyama shikizi viliunga mkonoKinachonishangaza ni Chadema tu ndio wanazungumzia maridhiano.
Mkuu Fundi, Fundi Mchundo , kila nikikutana na posti yako nafarijika sana na arguments zako, unanikumbusha jf ile ya zamani ambayo naitamani irudi na ma GT wa jf warudi. Nimesema amekutwa na prima facie, sijasema amepatikana na hatia!, kukuta na prima facie, maana yake there is a case to answer!.Kama huyo unayemuita Gaidi ni Mbowe basi unasema uongo maana hajawahi kusamehewa. Hiyo unayoita Prima Facie sio kupatikana na hatia. Mbowe alikataa katakata suala la msamaha. Ndio maana Zitto alipomuombea msamaha alipingwa sana na CDM. Aliachiwa baada ya DPP kughairi kuendelea na kesi na sio kwa msamaha wa Rais.
Kitendo cha FM kukutwa na prima facie, halafu kesi ikafutwa kwa nolle, you can call it what you may, bali kwangu huo ni msamaha!. Kwenye hili la TL, DPP tumemshauri Kama HII Sauti ni ya Kwake YEYE Mwenyewe,na Aliyepangiwa,kwenye Sauti Hiyo ni Huyu Mhaini,Namshauri DPP,Do The Needful ASAP!Kabla YEYE Hajakinukisha!。Kama nilivyosema awali, hata Mbowe alikataa msamaha. Pamoja na ushujaa wake sidhani kama Lissu atagoma kutoka rumande kama DPP ataghairi kuendelea na kesi. Aidha, hilo la msamaha halina mashiko maana huwezi kumsamehe mtu bila kumtia hatiani. Mimi naona ni maneno tu ya mtaani.
Kwenye kumpindua Mbowe, sikubaliani na wewe, ukweli ni kwamba Lissu hakupanga kugombea uenyekiti, alipanga kutetea kiti chake, ila FM na wafuasi wake wakampanga Wenje kumng'oa Lissu ndipo Lissu akaamua kama mbay na iwe mbaya, akaamua kumkabili FM na kweli akamng'oa!. FM mpaka leo amenuna, amesusa!. Ni wafuasi wake wanamchokoa Heche, na ikitokea kumalizana na Heche, TL akiwa huru, litaibuka tifu la zilipo fedha za michango ya kununulia gari la TL!.Angeuaje maridhiano ambayo hayajawahi kufikiwa? Na mbona hakuzungumza yote haya kabla ya yeye na wenzake kuhakikishiwa usalama wao wakirudi Tanzania? Mbona hakukataa kuonana na Samia alipokuwa Ubelgiji? Yote haya ni self serving exercise maana tayari yeye na wenzake walikuwa na nia ya kumpindua Mbowe. Ni hypocrisy ya hali ya juu.
Mkuu Fundi Mchundo, kura is a game of numbers and numbers dont lie!, ili uweze election rigging, ni lazima kucheza na numbers na siku zote this is the games people plays!, hili nimelieleza vizuri hapa GE2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... kama eligible voters ni watu milioni 30, wakajindikisha vote na kupiga kura wote, CCM ikapata kura milioni 10, upinzani ukapata kura milioni 20!, hata ufanye rigging vipi, bado upinzani utashinda!, mfano kilichofanyika uchaguzi wa 2025, hizo kura milioni 32 ni wale waliosusa ambapo niliwashauri kabla Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga! hawakusikia, hivyo hawakupiga, wakapigiwa!.Hamna mtu yeyote wa CDM ambae angeweza kuwaingiza Ikulu chini ya mfumo uliokuwepo wakati ule. Lissu alikuwa asset kwa sababu angeweza kupata kura nyingi dhidi ya Samia. Kura hizo zingewawezesha kupata wabunge na ruzuku.
Naunga mkono hoja, angalia nilichosema Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika! but now it is not, 2030 ni CCM tena na rais namjua Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!Uwepo wao Bungeni pamoja na ruzuku ungewawezesha kutoa ushindani mkubwa kwa CCM 2030 ambayo bila shaka itakuwa imegawanyika katika makambi ya wanao ona wanastahili urais. Kuwa na wabunge kungewawezesha kutoa shinikizo zaidi kuhusu mabadiliko yanayo hitajika nchini. Yote hayo sasa ni nadharia maana CCM iko katika nafasi nzuri zaidi ya kushinda urais 2030.
Awethu!Amandla...
Hahaha.haya ni maajabuUmofia kwako pia, hoja kama hii niliwahi kushauri Kama gaidi alisamehewa licha ya kukutwa na Prima Facie, mhaini pia anaweza kusamehewa. Tumuombee msamaha wa 'Kusameheana Kupo' au akomae nao mpaka?
Tatizo ni Lissu hataki ujinga, hataki kusamehewa kwasababu yeye anajihesabu hana kosa, hivyo ameamua kukomaa na haki, kama ni kweli neno tutakinukisha ni uhaini, then ahukumiwe kunyongwa na anyongwe!, na kama sio uhaini ni aachiwe huru bila ya masherti na sio asamehewe as if yeye ni mkosaji.
Kwa vile mtu wa Chadema, aliyeyaua yale maridhiano ya mwanzo ambapo niliuliza watu humu, Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Pamoja na hayo niliwashauri Chadema Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
Lissu hahitaji maridhiano kwataarifa yenu nyie machawa, hayo maridhiano fanyeni na vyama vingine kama mlivyofanya kwenye uchaguzi wenu fake.Na Yeye kwanini anataka kuachiwa kwanza ndiyo afanye maridhiano?
labda kushinda njaa na kuuwa watu na kwa taarifa yako yasipofanyika mabadiliko hapa katikati 2030 ccm wajiandae kukimbia maana itakuwa zaidi ya O29.Kama huyo unayemuita Gaidi ni Mbowe basi unasema uongo maana hajawahi kusamehewa. Hiyo unayoita Prima Facie sio kupatikana na hatia. Mbowe alikataa katakata suala la msamaha. Ndio maana Zitto alipomuombea msamaha alipingwa sana na CDM. Aliachiwa baada ya DPP kughairi kuendelea na kesi na sio kwa msamaha wa Rais.
Kama nilivyosema awali, hata Mbowe alikataa msamaha. Pamoja na ushujaa wake sidhani kama Lissu atagoma kutoka rumande kama DPP ataghairi kuendelea na kesi. Aidha, hilo la msamaha halina mashiko maana huwezi kumsamehe mtu bila kumtia hatiani. Mimi naona ni maneno tu ya mtaani.
Angeuaje maridhiano ambayo hayajawahi kufikiwa? Na mbona hakuzungumza yote haya kabla ya yeye na wenzake kuhakikishiwa usalama wao wakirudi Tanzania? Mbona hakukataa kuonana na Samia alipokuwa Ubelgiji? Yote haya ni self serving exercise maana tayari yeye na wenzake walikuwa na nia ya kumpindua Mbowe. Ni hypocrisy ya hali ya juu.
Hamna mtu yeyote wa CDM ambae angeweza kuwaingiza Ikulu chini ya mfumo uliokuwepo wakati ule. Lissu alikuwa asset kwa sababu angeweza kupata kura nyingi dhidi ya Samia. Kura hizo zingewawezesha kupata wabunge na ruzuku. Uwepo wao Bungeni pamoja na ruzuku ungewawezesha kutoa ushindani mkubwa kwa CCM 2030 ambayo bila shaka itakuwa imegawanyika katika makambi ya wanao ona wanastahili urais. Kuwa na wabunge kungewawezesha kutoa shinikizo zaidi kuhusu mabadiliko yanayo hitajika nchini. Yote hayo sasa ni nadharia maana CCM iko katika nafasi nzuri zaidi ya kushinda urais 2030.
Amandla...
Umeshawahukumu kabisa!?Gaidi?Muhaini?Na,wewe ni mwanasheria?Nimeelewa sababu ya members kuendelea "kukufurahisha kwa maneno lainilaini" humu JF!Umofia kwako pia, hoja kama hii niliwahi kushauri Kama gaidi alisamehewa licha ya kukutwa na Prima Facie, mhaini pia anaweza kusamehewa. Tumuombee msamaha wa 'Kusameheana Kupo' au akomae nao mpaka?
Tatizo ni Lissu hataki ujinga, hataki kusamehewa kwasababu yeye anajihesabu hana kosa, hivyo ameamua kukomaa na haki, kama ni kweli neno tutakinukisha ni uhaini, then ahukumiwe kunyongwa na anyongwe!, na kama sio uhaini ni aachiwe huru bila ya masherti na sio asamehewe as if yeye ni mkosaji.
Kwa vile mtu wa Chadema, aliyeyaua yale maridhiano ya mwanzo ambapo niliuliza watu humu, Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Pamoja na hayo niliwashauri Chadema Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
Umeandika meeengii kwa kadiri ya kutaka kuyahalalisha mawazo yako.Niwakumbushe tofauti kubwaa kati yao pamoja na Mzee mbowe kuitwa Gaidi lkn hakukuwa na Vifo vya Watanzania👈
hakutenda Siasa za kumwaga
DAMU za watu
Kifupi hakuchonganisha watu na risasi za Polisi kiasi watu 500+ kufa👈
Ugaidi wa
Mh Mbowe vifo nikama O 👈
Ugaidi wa Tundu Lissu Vifo 500+
Kwa mtazamo wangu kwenye kuwafananisha tuweke na maelezo ya kutosha
Tunaweza kuona tofauti za Msingi kwanini mh Lissu kalichomesha Taifa
Ikiwa anagoma kukubaliana akiwa ndani🤔‼️
vipi umwachie kwanza utegemee mje mfanye makubaliano
akiwa nnje ‼️
Je msipo fikia makubaliano mtafanyaje❗️
kutokea apo Lissu hakatangaza upya fujo zengine mana yeye yupo yupo tu Mke Watoto kawaficha Marekani uko👈
Jambo lengine Mh Mbowe Siasa za Tanzania hazijampa hasara kubwa ya kimwili so hana ugomvi na yoyote TZ
Lkn Lissu pale alipo ni mlemavu Sababu za Siasa zake!!
Uyu kiakili uwezi kumfananisha na mh Mbowe!!
Lissu yupo nusu mtu nusu marehemu hana cha kupoteza❗️👈
lkn Watanzania tunapoteza Watoto wetu nk✍️
kwaiyo vizuri Serikali ifanyanae kwanza Makubaliano ndipo wamwachie👈
kinyume chake Watanzania tupo tayali kuwekewa vikwazo lkn muhimu kwetu tubaki Salama✍️
Lau tunaenda kufa tn 1000 na Wazungu wanatupa zawadi ile ile wanatuekea vikwazo kisa vifo
vingi 👈
Kiakili uchague Vifo na vikwazo juu👈
Au vikwazo bila vifo
Watuwekee vikwazo lkn tupo Salama
kama kuchagua tunachagua Salama yetu kwanza ✍️
Asante Pascal. It means a lot to me.Mkuu Fundi, Fundi Mchundo , kila nikikutana na posti yako nafarijika sana na arguments zako, unanikumbusha jf ile ya zamani ambayo naitamani irudi na ma GT wa jf warudi. Nimesema amekutwa na prima facie, sijasema amepatikana na hatia!, kukuta na prima facie, maana yake there is a case to answer!.
Mbowe asingeweza kwenda kwa Rais bila kualikwa. Alialikwa, akaona akamsikilize. Mbowe ni pragmatic na alijua anahitaji ushirikiano wa Rais kwa vile Chadema ilikuwa mahali pabaya na mwenye mamlaka ya kuwatoa alikuwa Rais peke yake.Kwa vile mwenye powers za nolle ni DPP, hivyo kila nolle ikitolewa ni DPP, lakini FM anamjua aliyetoa nolle na ndio maana alipotoka tuu, hata kabla ya kumshukuru Mola wake, alikimbilia mahali kushukuru!.
Huu ni upotoshaji mwingine. Mbowe alijua ana leverage kwa Rais. Tunakumbuka jinsi mabalozi walivyokuwa wanahudhuria kesi yake kila ikitajwa. Rais aliona pia mkusanyiko wa wanachama wa Chadema kila siku mahakani kila kesi ikitajwa. Aliona pia muamko wa wakina Ruge huko mitaani ambako waliendelea kumpambania Mbowe pamoja na kuswekwa sana Mahabusu. Aidha, alishuhudia jinsi Kibatala na wenzake walivyo waaibisha mashahidi wa Jamhuri. Martin alifanya kazi kubwa mno kuelezea yaliyokuwa yanajiri ndani ya Mahakama. Kwa hali hiyo Mbowe alijua kuwa atakuwa tayari sio tuu kuondoa zuio la mikutano ya hadhara bali pia kuwaachia wafuasi wengi wa CDM waliokuwa ndani. Aidha, alijua kuwa atakuwa tayari pia kukubali kuweka mazingira ili walio nje waweze kurudi. Haya yote aliona yana umuhimu zaidi kuliko ego yake ambayo ingesuuzika kwa kukataa mualiko wa Rais. Na kumbuka wakati ule walikuwepo watu kama Kinana ambao walikuwa tayari kuzungumza in good faith.Tena amini usiamini alipofika huko alilia shida na alipewa kila kitu, mara ghafla Chadema ikafufuka kuweza kufanya ziaza za nje ya nchi na kuitisha kikao cha Baraza Kuu, na kabla ya kikao kama ni kesho, FM alitinga tena Ikulu na picha zikasambaa, na sisi wa kupongeza tukapongeza Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipata vema na kupendana. Tulikotoka ni kugumu, tunakokwenda ni kurahisi, kuzuri! Heri ya Mwaka Mpya wahusika wote
Unamsameheaje mtu ambae hajakutwa na hatia? Amemsamehe kwa kosa gani?Kitendo cha FM kukutwa na prima facie, halafu kesi ikafutwa kwa nolle, you can call it what you may, bali kwangu huo ni msamaha!. Kwenye hili la TL, DPP tumemshauri Kama HII Sauti ni ya Kwake YEYE Mwenyewe,na Aliyepangiwa,kwenye Sauti Hiyo ni Huyu Mhaini,Namshauri DPP,Do The Needful ASAP!Kabla YEYE Hajakinukisha!。
Lissu, Lema, Wenje na Msigwa walipanga kumuweka pembeni Mbowe kwa sababu waliamini kuwa yeye kukaa kwake ndani hakuwa effective. Wenje alisema wazi kuwa Lissu na wenzake walimshutumu Mbowe kwa matumizi mabaya ya pesa kama kutumia pesa za chama kujinunulia magari kitu ambacho Mbowe alionyesha kuwa ni uongo kwa kumuonyesha Wenje risiti na mawasiliano yake na Mnyika kumshauri nao wanunue magari katika mnada kama alivyosema.Kwenye kumpindua Mbowe, sikubaliani na wewe, ukweli ni kwamba Lissu hakupanga kugombea uenyekiti, alipanga kutetea kiti chake, ila FM na wafuasi wake wakampanga Wenje kumng'oa Lissu ndipo Lissu akaamua kama mbay na iwe mbaya, akaamua kumkabili FM na kweli akamng'oa!
Mbowe amenuna vipi? Ulitegemea afanye nini baada ya uchaguzi kama ule na watu waliokuwa upande wake kuandamwa na Team Lissu?. FM mpaka leo amenuna, amesusa!. Ni wafuasi wake wanamchokoa Heche, na ikitokea kumalizana na Heche, TL akiwa huru, litaibuka tifu la zilipo fedha za michango ya kununulia gari la TL!.
Hauwezi kuhalalisha kilichotokea kwa kisingizio cha namba. Ballot stuffing ingefanyika tu.Mkuu Fundi Mchundo, kura is a game of numbers and numbers dont lie!, ili uweze election rigging, ni lazima kucheza na numbers na siku zote this is the games people plays!, hili nimelieleza vizuri hapa GE2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... kama eligible voters ni watu milioni 30, wakajindikisha vote na kupiga kura wote, CCM ikapata kura milioni 10, upinzani ukapata kura milioni 20!, hata ufanye rigging vipi, bado upinzani utashinda!, mfano kilichofanyika uchaguzi wa 2025, hizo kura milioni 32 ni wale waliosusa ambapo niliwashauri kabla Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga! hawakusikia, hivyo hawakupiga, wakapigiwa!.
Yetu macho. Mimi naamini mbunge wa Kawe 2030 atakuwa Pascal.Naunga mkono hoja, angalia nilichosema Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika! but now it is not, 2030 ni CCM tena na rais namjua Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!
Awethu!
P
Prima facie ya Mbowe ndo Ile ya kapanga miti barabarani au ni ipiMkuu Fund
Awethu!
P
Then Asitoe milio avumilie kukaa LupangoLissu hahitaji maridhiano kwataarifa yenu nyie machawa, hayo maridhiano fanyeni na vyama vingine kama mlivyofanya kwenye uchaguzi wenu fake.