Musachawenyu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 280
- 526
Umofia kwako pia, hoja kama hii niliwahi kushauri Kama gaidi alisamehewa licha ya kukutwa na Prima Facie, mhaini pia anaweza kusamehewa. Tumuombee msamaha wa 'Kusameheana Kupo' au akomae nao mpaka?Umuofya kwenu?
Mjadala wangu kwa leo ni mfupi sana kama ulivyo katika mada.
Wadau naomba maoni yenu kwenye jambo hili. Je wanamuogopa Lissu kuwa kwenye timu ya maridhiano ndio maana wanataka waridhiane asipokuwepo?
Labda usemi umebadlikaUmuofya kwenu?
Mjadala wangu kwa leo ni mfupi sana kama ulivyo katika mada.
Kwamba Samia aliingia madarakani kisha Mbowe akakamatwa kwa kesi waliyosema ni ya ugaidi. Baada ya takribani miezi 8 akaachiwa huru.
Siku hiyo hiyo aliwakimbia Makamanda waliofika nyumbani kwake kumpa pole kupitia geti dogo la nyuma na kwenda Ikulu.
Baada ya kikao chake binafsi na Samia ndio akaanza maridhiano feki ambayo hayakuzaa matunda katika ujenzi wa demokrasia shirikishi.
Swali langu ni kwanini sasa hivi inalazimishwa maridhiano yaanze ndio Lissu aachiwe huru? Wameanza kutumwa vibaraka kama kina Selasini kuonyesha eti Lissu anataka maridhiano yaanze akiwa gerezani.
Wadau naomba maoni yenu kwenye jambo hili. Je wanamuogopa Lissu kuwa kwenye timu ya maridhiano ndio maana wanataka waridhiane asipokuwepo?
That is obvious mkuu, wanamuogopa jamaa kama cancerUmuofya kwenu?

Basi wataogopa kuchungulia nyeti zao maliwatoni ili kuzisafishaThat is obvious mkuu, wanamuogopa jamaa kama cancer
Ushauri mzuri. Kama ana makosa wamnyonge na kama wana mashahidi basi kesi iendelee.Umofia kwako pia, hoja kama hii niliwahi kushauri Kama gaidi alisamehewa licha ya kukutwa na Prima Facie, mhaini pia anaweza kusamehewa. Tumuombee msamaha wa 'Kusameheana Kupo' au akomae nao mpaka?
Tatizo ni Lissu hataki ujinga, hataki kusamehewa kwasababu yeye anajihesabu hana kosa, hivyo ameamua kukomaa na haki, kama ni kweli neno tutakinukisha ni uhaini, then ahukumiwe kunyongwa na anyongwe!, na kama sio uhaini ni aachiwe huru bila ya masherti na sio asamehewe as if yeye ni mkosaji.
Kwa vile mtu wa Chadema, aliyeyaua yale maridhiano ya mwanzo ambapo niliuliza watu humu, Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Pamoja na hayo niliwashauri Chadema Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
Kama wana ushahidi ni muhaini si kesi iendelee na apate hukumu? Mbona wanarukaruka kama maharage?Na Yeye kwanini anataka kuachiwa kwanza ndiyo afanye maridhiano?
Kwenye meza ya maridhiano, pande zote zinatakiwa kuwa na parity.Na Yeye kwanini anataka kuachiwa kwanza ndiyo afanye maridhiano?
Sahihi kabisa. Kesi ya mchongo imekuwa mchongomaNi wazi kuna inconsistency kubwa.
Tafuta video ya Lissu kule mjini youtube akiongelea maridhiano, kwamba walikaa na CCM na kufikia mwafaka mzuri wa namna ya kuridhiana. CHADEMA wakaandika yale makubaliano, wakawapa CCM waridhie na kusaini yale makubaliano, wakati Kinana akiwa Katibu Mkuu, CCM hawakuwahi kujibu yale maandishi mpaka kesho! Tafuta hio video uiangalieKwenye meza ya maridhiano, pande zote zinatakiwa kuwa na parity.
Kwa hiyo CCM hawako tayari kwa maridhiano?Tafuta video ya Lissu kule mjini youtube akiongelea maridhiano, kwamba walikaa na CCM na kufikia mwafaka mzuri wa namna ya kuridhiana. CHADEMA wakaandika yale makubaliano, wakawapa CCM waridhie na kusaini yale makubaliano, wakati Kinana akiwa Katibu Mkuu, CCM hawakuwahi kujibu yale maandishi mpaka kesho! Tafuta hio video uiangalie
CCM ni walaghai.Kwa hiyo CCM hawako tayari kwa maridhiano?
Kama huyo unayemuita Gaidi ni Mbowe basi unasema uongo maana hajawahi kusamehewa. Hiyo unayoita Prima Facie sio kupatikana na hatia. Mbowe alikataa katakata suala la msamaha. Ndio maana Zitto alipomuombea msamaha alipingwa sana na CDM. Aliachiwa baada ya DPP kughairi kuendelea na kesi na sio kwa msamaha wa Rais.Umofia kwako pia, hoja kama hii niliwahi kushauri Kama gaidi alisamehewa licha ya kukutwa na Prima Facie, mhaini pia anaweza kusamehewa. Tumuombee msamaha wa 'Kusameheana Kupo' au akomae nao mpaka?
Kama nilivyosema awali, hata Mbowe alikataa msamaha. Pamoja na ushujaa wake sidhani kama Lissu atagoma kutoka rumande kama DPP ataghairi kuendelea na kesi. Aidha, hilo la msamaha halina mashiko maana huwezi kumsamehe mtu bila kumtia hatiani. Mimi naona ni maneno tu ya mtaani.Tatizo ni Lissu hataki ujinga, hataki kusamehewa kwasababu yeye anajihesabu hana kosa, hivyo ameamua kukomaa na haki, kama ni kweli neno tutakinukisha ni uhaii, then ahukumiwe kunyongwa na anyongwe!, na kama sio uhaini ni aachiwe huru bila ya masherti na sio asamehewe as if yeye ni mkosaji.
Angeuaje maridhiano ambayo hayajawahi kufikiwa? Na mbona hakuzungumza yote haya kabla ya yeye na wenzake kuhakikishiwa usalama wao wakirudi Tanzania? Mbona hakukataa kuonana na Samia alipokuwa Ubelgiji? Yote haya ni self serving exercise maana tayari yeye na wenzake walikuwa na nia ya kumpindua Mbowe. Ni hypocrisy ya hali ya juu.Kwa vile mtu wa Chadema, aliyeyaua yale maridhiano ya mwanzo ambapo niliuliza watu humu, Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Hamna mtu yeyote wa CDM ambae angeweza kuwaingiza Ikulu chini ya mfumo uliokuwepo wakati ule. Lissu alikuwa asset kwa sababu angeweza kupata kura nyingi dhidi ya Samia. Kura hizo zingewawezesha kupata wabunge na ruzuku. Uwepo wao Bungeni pamoja na ruzuku ungewawezesha kutoa ushindani mkubwa kwa CCM 2030 ambayo bila shaka itakuwa imegawanyika katika makambi ya wanao ona wanastahili urais. Kuwa na wabunge kungewawezesha kutoa shinikizo zaidi kuhusu mabadiliko yanayo hitajika nchini. Yote hayo sasa ni nadharia maana CCM iko katika nafasi nzuri zaidi ya kushinda urais 2030.
Amandla...
Kwa kifupi, hapajawahi kuwa na maridhiano.Tafuta video ya Lissu kule mjini youtube akiongelea maridhiano, kwamba walikaa na CCM na kufikia mwafaka mzuri wa namna ya kuridhiana. CHADEMA wakaandika yale makubaliano, wakawapa CCM waridhie na kusaini yale makubaliano, wakati Kinana akiwa Katibu Mkuu, CCM hawakuwahi kujibu yale maandishi mpaka kesho! Tafuta hio video uiangalie
Mmepewa 30 days kesi iwe imeisha!!Na Yeye kwanini anataka kuachiwa kwanza ndiyo afanye maridhiano?
Kama maridhiano ni ya kweli na yana lengo la kujenga demokrasia, kwa nini yawe na masharti ya mtu kubaki gerezani au kuachiwa kwanza? Maridhiano ya kweli yanahitaji uwazi, usawa na ushiriki wa wahusika wote muhimuUmuofya kwenu?