Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kigezo kimojawapo cha kugombea urais Tanzania ni mgombea kuwa na angalau kiwango cha elimu cha degree moja, pia huwa kuna rumours mtaana kwamba Freeman Mbowe aliishia kidato cha sita tu, sasa kama ni kweli Mbowe aliwezaje kupitishwa na tume ya uchaguzi kugombea Urais mwaka 2005??
Wanasiasa wanaogombea nafasi kuanzia udiwani, ubunge hadi Urais wanapaswa kuweka wazi CVs zao wapiga kura wawafahamu vizuri kwa manufaa ya umma. George Bush Jr. wa Marekani yeye alikuwa haoni haya kusema hadi matokeo yake ya darasani kwamba hakuwa kipanga na hadi aliwahi kutania kwamba wanafunzi wa daraja C kama yeye wanaweza kuwa marais pia.