TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Wote tunajua namna FAM alivyokipigania CHADEMA Mpaka kikawa chama Tishio kwa kila Taasisi ya kiserikali,lakini katika kukijenga chama,chama kilizungumza,haki,usawa,utawala bora na demokrasia mambao ambayo wanainchi wengi wanapenda kusikiliza ajenda zake,chama kikakubalika.
Lakini wakati wa zoezi zima la kujenga chama FAM akajisahau kwamba FALSAFA KUU ya chama ni DEMOKRASIA NA MAENDELEO,akajisahau kwamba demokrasia inayopiganiwa sio nje ya chama tu ni hadi ndani ya chama,akajiaminisha kwamba yeye ni ALPHA na OMEGA,mwanzo na mwisho hakuna kama yeye,vibaraka wake kama Yericko walisikika mara kazdhaa wakisema yeye ni ALPHA na OMEGA.
Alijisahau kwamba CHADEMA ina aminiwa na watu wenye akili timamu wasioyumbishwa hasa vijana,watu ambao wato focused na wapo tayari kulipa gharama yoyote.
akasahau kuna vijana amewalea katika misingi yakuamini katika haki ,demokrasia na usawa kwelikweli,akasahau aliwalea katika misingi yakupambana kwelikweli ,hakukumbuka kuna siku watakuja kuwa watu wazima na radicals wa kisiasa ndani na nje ya chama kwamba kuna siku watakuwa na sifa za kugombea nafasi ya mwenyekiti,hii ni kwa sababu alijiona CHADEMA yeye ni ALPHA na OMEGA.
Akakutana na mshindani ktk uchaguzi ambaye anamisimamo mikali kama boko haramu au al-shabab,akisema 1 ni 1 kamwe habadiriki,demokrasia ikaamua,akaburuzwa vibaya sana pale mlimani city,akaiona nguvu ya Umma,nguvu ya demokrasia,yeye na wafuasi wake na Timu ya wakajeruhiwa vibaya sanaa(wanasema waziwazi)wakasahau walijeruhiwa na demokrasia waliyokuwa wakiitangaza wenyewe.
Mbilinge zikaanza,aliye kijenga chama kwa miongo kenda akaanza kutumika kukihujumu chama kupitia vijana wake, still wanapambana chama kife ,lakini watakiuaje?,wanashirikiana na Chama dola kuhakikisha wanakisambaratisha, wanasahau kwamba kukisambaratisha kihuni kwa kutumia fedha ama hila kwa sasa ni ngumu.
ishukuriwe feb 21 ,ilituletea mapinduzi halisi ya kidemokrasia,tukapata viongozi wakuu ambao wamejitoa kwelikweli,wakamuweka ndani mwenyekiti ambaye alishinda kwa demokrasia hii ilikuwa mbinu yakuzuia upepo mkali wa chama kuelekea uchaguzi wa kidwanzi kuwahi kutokea,mbinu hii ilitumika ili wapate urahisi wakukisambaratisha chama pia kupitia maridhiano ya kidwanzi(wanataka kufanya maridhiano ya kisiasa kama wanafanya maridhiano ya mgogoro wa ndoa ,confusable bwana).
Huku nje wakaanza kumlia rada makamu mwenye kiti ili akihujumu chama,wakakuta mkurya naye ni mkavu kama boss wake kanyoka sana,wakaanza kumuwinda wa mmalize inashindikana,wakaamua kutumia mbinu za kusimamisha shughuli za chama,chama kikapigwa burn mwisho kikashida,yote haya FAM na genge lake wanahusika kwa ukaribu sana,maana wanaokishitaki chama ni watu waliokuwepo ktk awamu ya uongozi wake.
CHADEMA haijawahi kuwa kivutio na imani thabiti kwa wananchi kama kilivyo sasa,kime kuwa chama kinachoaminiwa sana na wananchi wa ngazi zote kuliko nyakati zozote zile.
Ndani ya Chama bado kuna masalia yamebakia kwa mujibu wa katiba,masalia haya ni viongozi wa kudumu ambao wapo ndani ya chama na wajumbe wa kudumu wa kamati na mkutano mkuu,baadhi ya wazee ni mapandikizi ya chama cha mapinduzi yanatakiwa yaondolewe.
FAM hatakiwi kuchukia wala kuleta hujuma kwa viongozi wa chama,anachotakiwa kuchukua ni yeye kuitangaza demokrasia wakati moyo wake hautaki,demokrasia aliyoitangaza na kuhubiri ndiyo iliyo muondoa,atulie.