Mbowe aliitangaza Demokrasia ili kujijenga yeye kwa manufaa yake binafsi kwa mgongo wa chama

Mbowe aliitangaza Demokrasia ili kujijenga yeye kwa manufaa yake binafsi kwa mgongo wa chama

We hujui hata maana ya demokrasia hasa ktk muktadha wa Africa na Tanzania.

Mbowe ana akili sana siyo mpumbavu km huyo mnyaturu na mkurya, wale ni washamba, Mbowe ni mtoto wa mjini aliyeijua dunia tangia akiwa mtoto.

Sasa mtu kama Heche na Mbowe wapi na wapi? Na kwa taarifa yenu atakirudisha chama chake kutoka mikononi mwao wakaanzishe chama chao.

Namlaumu sana kakangu Mbowe kuwaachia chama alichojenga kwa damu na jasho kina Lussu na Heche!

Mbowe ni mwuungwana na mstaarabu sana
Hata akiweza kukirudisha itabaki chadema ya kupigia pesa za ccm kwa muda lakini sio chadema ya kudai haki. Mwisho mbowe atakuwa kama Lipumba kusubiri mialiko ya ccm apate posho.
 
Kwani mwajuma ndala mbili, uliwahi kusikia popote akilalamikia kuhusu demokrasia aliyoijenga? Au kuna kitu mnamdai?
Mara nyingi amesikika akisema amekijenga chama kwa gharama kubwa sana,na alitumia fedha zake binafsi,na amesema mara nyingi kuwa aligharamika kuwajenga vijana na wengineo,hizi ni udwanzi,by the way i am not Mwajuma ndala mbili you fuckin bitch.
 
Sikiliza mwainne
Baada ya kuwa mmemtangaza TAL kuwa mwenyekiti wenu, na FAM akasema anaenda kushughulika na biashara zake, uliwahi kusikia anazungumzia tecdema tofauti na siku ya msiba wa babamkwe wake?

kinachowaumiza nyie mwaisa ni ukimya wake.
 
We hujui hata maana ya demokrasia hasa ktk muktadha wa Africa na Tanzania.

Mbowe ana akili sana siyo mpumbavu km huyo mnyaturu na mkurya, wale ni washamba, Mbowe ni mtoto wa mjini aliyeijua dunia tangia akiwa mtoto.

Sasa mtu kama Heche na Mbowe wapi na wapi? Na kwa taarifa yenu atakirudisha chama chake kutoka mikononi mwao wakaanzishe chama chao.

Namlaumu sana kakangu Mbowe kuwaachia chama alichojenga kwa damu na jasho kina Lussu na Heche!

Mbowe ni mwuungwana na mstaarabu sana
katika duru za uongozi wa kisiasa kuna temptations tano ambazo zinawaathiri wanasiasa wa afrika kwa kiasi kikubwa ambazo ni power,property,prestige,popularity and pomposity,wewe ni mmoja wa wale walioathirika na mbwembwe(pomposity) ndio maana umeandika mbwembwe tu.

Perharps we could have to discuss about DEMOCRACY as you said i know nothing,now tell as about democracy nigga.

All in all we killed elephant on 21 feb by a ballot and not a bullet,nigga,.

Hakuwa na njia ya kubaki wakati kachinjwa hadharani,we are not talking about utoto wa mjini but the stiffnes to handle the focus and truth about justice,rights and democracy.

Tuliza kitenesi,tutawashona.
 
Sikiliza mwainne
Baada ya kuwa mmemtangaza TAL kuwa mwenyekiti wenu, na FAM akasema anaenda kushughulika na biashara zake, uliwahi kusikia anazungumzia tecdema tofauti na siku ya msiba wa babamkwe wake?

kinachowaumiza nyie mwaisa ni ukimya wake.
Hakuna aliyezungumzia ukimya wake mwaisa,i narrated the truth beyond your sight nigga,wale waliofungua kesi ya mgawanyo wa mali ni timu yakeya uongozi,wale wakina MREMA,KIGAILA ni watu wake wakaondoka na akaunti za mitandao za chama na udwanzi kibao.

By the way hoja yangu ipo pale wazi kabisa,kwamba he did not built democracy for the fate of the NATION and For the fate of the people of Tanganyika and else so,insteady he built pseudo democracy for his personal issues and he forget that he was working for an institution with young men and women who grow up with affirmation to organization culture development
 
Kama tulimuweza kwenye sanduku la kura,hatuwezi kumshindwa jukwaani,aende CHAUMA kama ilivyo mipango yao ,theni tufunge hesabu,yeye ni kama bamia.
Sasa si mkae kimya na kumwacha afanye mambo yake badala ya kumlilia aende kwenye kesi ya Lissu?
 
Kweli Mbowe ni jabali la siasa za nchi hii. Nyuzi ni nyingi sana kumhusu. Social media nzima imechafuka habari za kumponda na kumsifu kuanzia jana. Mbowe akisema ajibu mapigo mtaweza muziki wake? Mnamchokoza sana.
Mbowe anasifiwi na kuimbwa na upande WA pili
 
Mbowe ndiyo amejenga chama chenye nguvu, na chama chake kitarudi mikononi mwake

Tena ndugu kwa masikitiko makubwa uhongozi mpya chini ya Lissu
Wameutumia vibaya mtaji wa rasilimali watu ndani ya
CHADEMA 👈

Viongozi wasasa kwa kukosa Chembe ya Uchungu kukuta Wafuasi wenye utayali kusikiliza viongozi wao wamewapeleka Wafuasi wao vijana kwenye Vita na Mapolisi leo Wafuasi wao wengi wamekufa 😭

Vifo vyao vinaakisi ombwe la Uchangiaji ndani ya Chama kwasasa
Ona
Uchangiaji ulivoyumba kwasasa
Yote kupata viongozi wasio na sifa kwao Siasa kuu!!!
ni kukinukisha kutumia nguvu👈

Ajabu watoto wake mwenyekiti kawafisha mbali uko Marekani!!!!!!!! lkn kajua watoto wa masikini wapo wa kuchezea kwenye Siasa
zake😭😭😭

Chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan
HAKI na Damu za watoto wale lazima hatalipia tu
Hokuna kuogopa kelele zozote kutoka popote 💪

Chini ya Mzee Mbowe kaongoza miaka 20 kajenga Wafuasi tangu watoto 👈

Chini ya TUNDU LIJISU kaongoza miezi 7 tu kuwapeleka Wafuasi vitani wamekufa Wafuasi 400 nk.😭😭

Rais Dk Samia Suluhu Hassan tunaomba Mfunge uyo mwehu japo miaka 25 kwa kuchezea uhai wa Watoto wetu✍️
 
Mara nyingi amesikika akisema amekijenga chama kwa gharama kubwa sana,na alitumia fedha zake binafsi,na amesema mara nyingi kuwa aligharamika kuwajenga vijana na wengineo,hizi ni udwanzi,by the way i am not Mwajuma ndala mbili you fuckin bitch.

mwishooo ndio umejipigania mwenyewe 😂😂
 
Yule Dadake Lissu nayeye nikama hanatumia Vibaya jina la YESU
We unajua Kaka kakinukisha Watoto wamekufa Sababu niyeye
Uwepo wake ndani ya Chadema

Leo unapiga kelele Uwezo wa YESU uwezo wa YESU

Unafiki wa kakake kuficha Watoto wake ❗️na kuja kuwatumia Watoto wa Masikini
YESU Adanganyiki kwa kalele za kinafki 🤠🤠🤠
 
Fanya wema mbele zake lkn sio
Vile kafanya Kakake mbele za Mungu ni mkosaji
Leo kuna wazazi wanalia bado Vifo vya Watoto wao✍️

Alafu YESU YESU tenda tenda unaweza kutenda

Wataendelea kudhalilika mbele ya Mahakama

MUNGU anajua kama sio nafasi ya Mwenyekiti kushikwa na Kakake
Leo Familia 500+ wasingekuwa kwenye vilio✍️✍️
 
Umeandika nini kijana? wakti wanaua kwa mitutu ya bunduki TAL alikuwa selo,hebu tupunguze upumbavu kidogo,unataka kuhalarisha udwanzi uliofanywa na wadwanzi uonekane ni udwanzi wa mtu SMART,SIMPLY ni kwamba the state had never been ruled by the dolt as this pooping bird.Hatuwezi kuhalarisha upumbavu,
 
Yule Dadake Lissu nayeye nikama hanatumia Vibaya jina la YESU
We unajua Kaka kakinukisha Watoto wamekufa Sababu niyeye
Uwepo wake ndani ya Chadema

Leo unapiga kelele Uwezo wa YESU uwezo wa YESU

Unafiki wa kakake kuficha Watoto wake ❗️na kuja kuwatumia Watoto wa Masikini
YESU Adanganyiki kwa kalele za kinafki 🤠🤠🤠
Nicompoop,dunce
 
Mbowe ndiyo amejenga chama chenye nguvu, na chama chake kitarudi mikononi mwake
Mbowe hana chama ,kwani katiba inasema cham ni chake?,ndio maana alifurushwa,hana njia yakukirudisha chama kihuni ballot itaamua,maninner,na akileta wahuni wake tutawakaanga as usual,you know.
 
Hizo ni ndoto za mchana,hazijawahi kuwa kweli,ila mawazo Yako na yaheshimiwe!
Njia pekee ilikuwa ni kukirudisha pale mlimani ila alishindwa na vijana wake bado wanatoa milio mpaka leo kuwa walijeruhiwa moyo,manniner tuliwakeketa kwa panga,
 
Back
Top Bottom