Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,143
- 2,872
Hata akiweza kukirudisha itabaki chadema ya kupigia pesa za ccm kwa muda lakini sio chadema ya kudai haki. Mwisho mbowe atakuwa kama Lipumba kusubiri mialiko ya ccm apate posho.We hujui hata maana ya demokrasia hasa ktk muktadha wa Africa na Tanzania.
Mbowe ana akili sana siyo mpumbavu km huyo mnyaturu na mkurya, wale ni washamba, Mbowe ni mtoto wa mjini aliyeijua dunia tangia akiwa mtoto.
Sasa mtu kama Heche na Mbowe wapi na wapi? Na kwa taarifa yenu atakirudisha chama chake kutoka mikononi mwao wakaanzishe chama chao.
Namlaumu sana kakangu Mbowe kuwaachia chama alichojenga kwa damu na jasho kina Lussu na Heche!
Mbowe ni mwuungwana na mstaarabu sana
Watachemka tuu kina Mbowe!Hata akiweza kukirudisha itabaki chadema ya kupigia pesa za ccm kwa muda lakini sio chadema ya kudai haki. Mwisho mbowe atakuwa kama Lipumba kusubiri mialiko ya ccm apate posho.
Mara nyingi amesikika akisema amekijenga chama kwa gharama kubwa sana,na alitumia fedha zake binafsi,na amesema mara nyingi kuwa aligharamika kuwajenga vijana na wengineo,hizi ni udwanzi,by the way i am not Mwajuma ndala mbili you fuckin bitch.Kwani mwajuma ndala mbili, uliwahi kusikia popote akilalamikia kuhusu demokrasia aliyoijenga? Au kuna kitu mnamdai?
Sikiliza mwainneMara nyingi amesikika akisema amekijenga chama kwa gharama kubwa sana,na alitumia fedha zake binafsi,na amesema mara nyingi kuwa aligharamika kuwajenga vijana na wengineo,hizi ni udwanzi,by the way i am not Mwajuma ndala mbili you fuckin bitch.
katika duru za uongozi wa kisiasa kuna temptations tano ambazo zinawaathiri wanasiasa wa afrika kwa kiasi kikubwa ambazo ni power,property,prestige,popularity and pomposity,wewe ni mmoja wa wale walioathirika na mbwembwe(pomposity) ndio maana umeandika mbwembwe tu.We hujui hata maana ya demokrasia hasa ktk muktadha wa Africa na Tanzania.
Mbowe ana akili sana siyo mpumbavu km huyo mnyaturu na mkurya, wale ni washamba, Mbowe ni mtoto wa mjini aliyeijua dunia tangia akiwa mtoto.
Sasa mtu kama Heche na Mbowe wapi na wapi? Na kwa taarifa yenu atakirudisha chama chake kutoka mikononi mwao wakaanzishe chama chao.
Namlaumu sana kakangu Mbowe kuwaachia chama alichojenga kwa damu na jasho kina Lussu na Heche!
Mbowe ni mwuungwana na mstaarabu sana
Hakuna aliyezungumzia ukimya wake mwaisa,i narrated the truth beyond your sight nigga,wale waliofungua kesi ya mgawanyo wa mali ni timu yakeya uongozi,wale wakina MREMA,KIGAILA ni watu wake wakaondoka na akaunti za mitandao za chama na udwanzi kibao.Sikiliza mwainne
Baada ya kuwa mmemtangaza TAL kuwa mwenyekiti wenu, na FAM akasema anaenda kushughulika na biashara zake, uliwahi kusikia anazungumzia tecdema tofauti na siku ya msiba wa babamkwe wake?
kinachowaumiza nyie mwaisa ni ukimya wake.
Sasa si mkae kimya na kumwacha afanye mambo yake badala ya kumlilia aende kwenye kesi ya Lissu?Kama tulimuweza kwenye sanduku la kura,hatuwezi kumshindwa jukwaani,aende CHAUMA kama ilivyo mipango yao ,theni tufunge hesabu,yeye ni kama bamia.
Mbowe anasifiwi na kuimbwa na upande WA piliKweli Mbowe ni jabali la siasa za nchi hii. Nyuzi ni nyingi sana kumhusu. Social media nzima imechafuka habari za kumponda na kumsifu kuanzia jana. Mbowe akisema ajibu mapigo mtaweza muziki wake? Mnamchokoza sana.
Mbowe ndiyo amejenga chama chenye nguvu, na chama chake kitarudi mikononi mwake
Mara nyingi amesikika akisema amekijenga chama kwa gharama kubwa sana,na alitumia fedha zake binafsi,na amesema mara nyingi kuwa aligharamika kuwajenga vijana na wengineo,hizi ni udwanzi,by the way i am not Mwajuma ndala mbili you fuckin bitch.
Tycon tunadeal na wadwanzi kwa njia tofauti man,lazima tujitofautishe kidogo na wadwanzimwishooo ndio umejipigania mwenyewe 😂😂
Umeandika nini kijana? wakti wanaua kwa mitutu ya bunduki TAL alikuwa selo,hebu tupunguze upumbavu kidogo,unataka kuhalarisha udwanzi uliofanywa na wadwanzi uonekane ni udwanzi wa mtu SMART,SIMPLY ni kwamba the state had never been ruled by the dolt as this pooping bird.Hatuwezi kuhalarisha upumbavu,Fanya wema mbele zake lkn sio
Vile kafanya Kakake mbele za Mungu ni mkosaji
Leo kuna wazazi wanalia bado Vifo vya Watoto wao✍️
Alafu YESU YESU tenda tenda unaweza kutenda
Wataendelea kudhalilika mbele ya Mahakama
MUNGU anajua kama sio nafasi ya Mwenyekiti kushikwa na Kakake
Leo Familia 500+ wasingekuwa kwenye vilio✍️✍️
Nicompoop,dunceYule Dadake Lissu nayeye nikama hanatumia Vibaya jina la YESU
We unajua Kaka kakinukisha Watoto wamekufa Sababu niyeye
Uwepo wake ndani ya Chadema
Leo unapiga kelele Uwezo wa YESU uwezo wa YESU
Unafiki wa kakake kuficha Watoto wake ❗️na kuja kuwatumia Watoto wa Masikini
YESU Adanganyiki kwa kalele za kinafki 🤠🤠🤠
Mbowe hana chama ,kwani katiba inasema cham ni chake?,ndio maana alifurushwa,hana njia yakukirudisha chama kihuni ballot itaamua,maninner,na akileta wahuni wake tutawakaanga as usual,you know.Mbowe ndiyo amejenga chama chenye nguvu, na chama chake kitarudi mikononi mwake
Njia pekee ilikuwa ni kukirudisha pale mlimani ila alishindwa na vijana wake bado wanatoa milio mpaka leo kuwa walijeruhiwa moyo,manniner tuliwakeketa kwa panga,Hizo ni ndoto za mchana,hazijawahi kuwa kweli,ila mawazo Yako na yaheshimiwe!