Elections 2010 Mbowe alimshambulia mtu Jimboni?

Elections 2010 Mbowe alimshambulia mtu Jimboni?

kasyabone tall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2009
Posts
254
Reaction score
63
Daniel Mjema, Hai
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho, anatuhumiwa kumpiga vibao viwili mwangalizi wa ndani wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Nassir Othman (20).

Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Lucas Ng’hoboko alilithibitishia kupokea taarifa za tukio hilo lakini akasema asingeweza kulizungumzia kwa undani kwa kuwa maofisa wake aliowatuma walikuwa hawajarejea.

Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Hai, Dk Norman Sigalla ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ya Hai, alidai kuwa tukio hilo lilitokea saa 8:45 mchana katika kituo cha Zahanati ya Kambo eneo la Msufini.
 
Tunaomba sababu ingawa kwa jinsi nimjuavyo Mbowe jamaa atakuwa alideserve
 
Huyo lazima alikuwa anataka kuchakachua...safi sana!
 
Wameona,Mbowe kakosa urais sasa kakimbilia biashara ya rejareja,pia kakosa,doh sihasa au siasa,kweli wapinzani mbinu zao za chekechea,umeamini kama magwanda wanayovaa CHADEMA ni wajeshi 2,mmmh SLAA JITAYARISHE NA LESSO,
 
halafu mbona ni katoto....lazima kalimkosea heshima
 
Tunaomba sababu ingawa kwa jinsi nimjuavyo Mbowe jamaa atakuwa alideserve

Hakuna justification yoyote ya kuvunja sheria, kama ni kweli hiyo si indication nzuri kwa Mbowe.
 
tujuze na sababu kwani mwenyekiti awezi kuchukua maamuzi kama hayo bila sababu
 
Wameona,Mbowe kakosa urais sasa kakimbilia biashara ya rejareja,pia kakosa,doh sihasa au siasa,kweli wapinzani mbinu zao za chekechea,umeamini kama magwanda wanayovaa CHADEMA ni wajeshi 2,mmmh SLAA JITAYARISHE NA LESSO,

hivi eeeehhh....okaayyyy!!...
 
mukiambiwa chadema ni watu wa fujo na kumwaga damu mutakataa????
kama m/kiti wenu anakosa uvumilivu kiasi hiki, jee, wanachama wake watakuwa vipi?
 
Daniel Mjema, Hai
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho, anatuhumiwa kumpiga vibao viwili mwangalizi wa ndani wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Nassir Othman (20).

Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Lucas Ng'hoboko alilithibitishia kupokea taarifa za tukio hilo lakini akasema asingeweza kulizungumzia kwa undani kwa kuwa maofisa wake aliowatuma walikuwa hawajarejea.

Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Hai, Dk Norman Sigalla ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ya Hai, alidai kuwa tukio hilo lilitokea saa 8:45 mchana katika kituo cha Zahanati ya Kambo eneo la Msufini.
Hapa ndio ambapo CHADEMA wanatakiwa wajitofautishe na wahuni. Ukweli ni kwamba, bila CHADEMA kumng'oa Mbowe credibility yake itakuwa hakuna. Huyu anafaa kuwa katibu mwenezi apige domo na si kuwa M/Kiti wa CHAMA. Hivi ni tukio la ngapi hili anahusika? Hv Mwenyekiti wa CCM angefanya hivyo ingekuwaje? Hata km angemfanya nini, bado kuna vyombo vinavyostahili kufanya hivyo! Hivi kila mtu akifanya hivyo itakuwaje?
 
mukiambiwa chadema ni watu wa fujo na kumwaga damu mutakataa????
kama m/kiti wenu anakosa uvumilivu kiasi hiki, jee, wanachama wake watakuwa vipi?

Zidane alifanyiwa mbovu na Italia, alikuwa provoked. Yet almost everyone was for him.

Likewise Mbowe, I can imagine what happened. usiwe na akili mbovu kiasi cha kusema ni wamwaga damu.

hebu nisaidineni, I'm concerned. kosa kama hilo kisheria, what can happen?
 
JIMBO LA HAI

Kituo cha Kata ya Machame Kusini

URAIS
1. Slaa - CHADEMA - 77
2. Kikwete - CCM - 55

UBUNGE
1. Freeman Mbowe - CHADEMA 95
2. Godwin Fuya Kimbita - CCM 39

UDIWANI
1. Richard Mtui - CHADEMA - 98
2. Naseeb - CCM -36

mukiambiwa chadema ni watu wa fujo na kumwaga damu mutakataa????
kama m/kiti wenu anakosa uvumilivu kiasi hiki, jee, wanachama wake watakuwa vipi?

Zubeida
Unaboa sana na MU... MU.... zako wawapi wewe? Jifunze kiswahili kwanza au ndo mamluki wenyewe , Mrundi nini?? manake unaboa!!!
 
Back
Top Bottom