Uchaguzi 2020 Mbowe alipaswa kujiuzulu uenyekiti kwa muda ili kuwepo na usawa kwa wagombea urais CHADEMA!

Naunga mkono hoja.
P
 
Si mbowe tu hata Lissu kwani wote ni wenyeviti
 
Kwani huko ccm mwenyekiti amejiuzuru kwa muda? Mbaya zaidi huko hata fomu imetolewa copy moja tu.
CCM ni kipindi cha pili hiyo huwa haina mjadala. Lakini kipindi cha kwanza mchujua fomu hawi mwenyekiti.
Huko lazima kutakuwa na conflict of interest.
 
Kiutaratibu ilibidi Mhe. Mbowe press yake ya kwanza baada ya kuvamiwa na wasiojulikana, ilitakiwa atoke kwenye media ana kutueleza kinaga ubaga kilichotokea.

Nikashangaa anaibukia na urais, kweli utekwe alaf ghafla bin vuu uwe normal kuamka na ishu ya Urais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…