Kwa tunaojua mbinu za siasa ni dhahiri kabisa ushindi wa Mama Samia umeshikiliwa na Block votes kubwa mbili yaani Uislam na Uwanawake basi. Kitendo Cha Mbowe kumkaribisha Mama Samia kwenye siku ya Wanawake wa Chadema nikutaka na kupandikiza kwenye akili za Bawacha kuwa Mama Samia ni Mwenzao.
Narudia tena 2025 tutakuwa na siasa za Kenya. Si ajabu kuja kumkuta Mbowe, Rais Samia, Lema, Lissu wako jukwaa moja.
Upinzani halisi na wa kweli 2025 ni Sukuma Gang
Narudia tena 2025 tutakuwa na siasa za Kenya. Si ajabu kuja kumkuta Mbowe, Rais Samia, Lema, Lissu wako jukwaa moja.
Upinzani halisi na wa kweli 2025 ni Sukuma Gang