DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Huyu jamaa ni fala sana juzi katoka Ubalozi wa belgium, Kaenda ubalozi wa Marekani, Kaenda ubalozi wa brazili , kaenda ubalozi wa china kaenda ubalozi sjui wa wapi kama anahubiri injili..Aliitwa kukatazwa kuandamana
🤣🤣🤣Huyu jamaa ni fala sana juzi katoka Ubalozi wa belgium, Kaenda ubalozi wa Marekani, Kaenda ubalozi wa brazili , kaenda ubalozi wa china kaenda ubalozi sjui wa wapi kama anahubiri injili..
Fla sana huyu..
Ye apeleke makalio yake kwenye maandamano aone tutamfanya nini yeye hata aende kwenye UBALOZI WA MBINGUNI kipigo ni pale pale
🤣🤣🤣Aliitwa kukatazwa kuandamana
We mjane katafute mchepuko makasiriko yako HAYATUHUSUHuyu jamaa ni fala sana juzi katoka Ubalozi wa belgium, Kaenda ubalozi wa Marekani, Kaenda ubalozi wa brazili , kaenda ubalozi wa china kaenda ubalozi sjui wa wapi kama anahubiri injili..
Fla sana huyu..
Ye apeleke makalio yake kwenye maandamano aone tutamfanya nini yeye hata aende kwenye UBALOZI WA MBINGUNI kipigo ni pale pale
Chadema Mnawashwa sasa tutawafanyia Massage safi na mkuno mtamu...We mjane katafute mchepuko makasiriko yako HAYATUHUSU
Akili zao Kupanda mikokoteni ya pundaTuliwaambia Tangu Jana , nadhani sasa wanaelewa
HakikaAkili Kubwa KAZINI....huko DUNIANI
nadhani amemueleza kwamba January 24 atachezea virungu kama mbwa Koko kwaihiyo wasifunge ubalozi kwasabb watakimbilia humo 🐒Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania,
Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini..
Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano yaliyopangwa kufanyila Tarehe 24/01/2024
View attachment 2876549
sasa Mama mzunguuu ukitukana nani atakusaidia ...Chadema Mnawashwa sasa tutawafanyia Massage safi na mkuno mtamu...
Ili mkaoshwe vizuri pale Muhimbili na Amana Fala nyie
Polesana ,tulijisahau kwamba chadema inaweza toboa anga kimataifa baada ya kumaliza ndaniHuyu jamaa ni fala sana juzi katoka Ubalozi wa belgium, Kaenda ubalozi wa Marekani, Kaenda ubalozi wa brazili , kaenda ubalozi wa china kaenda ubalozi sjui wa wapi kama anahubiri injili..
Fla sana huyu..
Ye apeleke makalio yake kwenye maandamano aone tutamfanya nini yeye hata aende kwenye UBALOZI WA MBINGUNI kipigo ni pale pale