Mbowe amekuwa kimya sana tangu siku ile.Jee ni mzima au amekubali

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake.

Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu

Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye siku hiyo
 
Mambo mengine ni magumu, wakati mwingine inabidi utulie ujitafute.
 
Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake.

Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu

Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye siku hiyo
Unahangaika na nini? Wewe kama ni mfaidika wa mauaji yanayoendelea tupishe. Kashatoa tamko kinachofuata ni mikakati, ratiba iko palepale 23 kitaeleweka
 
Back
Top Bottom