Webabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2010 Posts 8,870 Reaction score 14,258 Sep 16, 2024 #1 Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake. Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye siku hiyo
Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake. Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye siku hiyo
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Sep 16, 2024 #2 Mambo mengine ni magumu, wakati mwingine inabidi utulie ujitafute.
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 6,716 Reaction score 12,116 Sep 16, 2024 #3 Tukutane tarehe 23
Waka Waka JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 1,333 Reaction score 2,076 Sep 16, 2024 #4 CCM mna haha tulieni Dawa ingie. All the best
R red carpet Member Joined Sep 11, 2024 Posts 33 Reaction score 67 Sep 16, 2024 #5 Webabu said: Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake. Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye siku hiyo Click to expand... Unahangaika na nini? Wewe kama ni mfaidika wa mauaji yanayoendelea tupishe. Kashatoa tamko kinachofuata ni mikakati, ratiba iko palepale 23 kitaeleweka
Webabu said: Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake. Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye siku hiyo Click to expand... Unahangaika na nini? Wewe kama ni mfaidika wa mauaji yanayoendelea tupishe. Kashatoa tamko kinachofuata ni mikakati, ratiba iko palepale 23 kitaeleweka