Mbowe amepambana hadi tumepata Chanjo ya COVID-19; je, na Katiba mpya ataipigania kwa nguvu ile ile?

Mbowe amepambana hadi tumepata Chanjo ya COVID-19; je, na Katiba mpya ataipigania kwa nguvu ile ile?

Akili za chadema mnazijua nyie wenyewe, kwahy asingekuwa mbombowe tusingeletewa chanjo.?
chadema wote ni rubbish sperms
 
Wakati Freeman Mbowe anapambania chanjo ya Corona wengi walimdharau lakini serikali ikamuelewa na chanjo za hiyari zinakuja.

Katiba mpya je?

Mwamba atatuvusha?!
Mbowe yupi au huyu anaejamba mbele ya hadhara shauri ya kunywa konyagi hadi kupitiliza?
 
Mbowe yupi au huyu anaejamba mbele ya hadhara shauri ya kunywa konyagi hadi kupitiliza?
Astaghafirullah,kwa sis waswahili kutoa kauli km hiyo husuuusan kuliambia Jibaba km DJ si heshima ni utovu wa nidham
 
Wakati Freeman Mbowe anapambania chanjo ya Corona wengi walimdharau lakini serikali ikamuelewa na chanjo za hiyari zinakuja.

Katiba mpya je?

Mwamba atatuvusha?!
tunaomba MATAGA wasipewe chanjo maana wao wanataka kuzaliana na Wa[pinzani Wote wachanjwe, tena tuwape bure maana wao hawataki kuzaliana.
 
CORONAVIRUS
What breakthrough infections mean for the Covid vaccines
 
Back
Top Bottom