Pre GE2025 Mbowe ametulia, hajibu tuhuma anazitupiwa na watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima na busara ya uongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe akiwa raisi hawezi kuachia madaraka.Mungu tunakuomba utuondolee Mbowe ili Tanzania ipate mabadiliko
 
SAWA mkuu, Mimi si mwanachama wa Chadema ila ningependa mambo Yao wasiyamwage hadharani. Kampeni Yao si wakafanyie siku ya upigaji kura?
siku ya kupiga kura haiwezi kua siku ya kampeni kwa mujibu wa katiba na sheria gentleman.

kampeni zilianza tangu pale, kila mtangaza nia alipoambatana na wapiga kura waka wakati akitangaza kuwania nafasi hiyo, Lakini kampeni zilendelea pia kisayansi siku ya kwenda kuchukua na kurudisha fomu ya kugombea.

Hata hivyo,
kisayansi kampeni zinaendelea na tayari mshindi anaonekana bayana bila kupepesa macho 🐒
 
 

Attachments

  • Screenshot_20241225-215807.jpg
    186.5 KB · Views: 2
Bado mshindi hayupo mpaka kura zipigwe na zikihesabiwa ndiyo mshindi atangazwe. Ninachoona Kuna watu wanaongea na kupendekeza watu wanowataka ingawa si wajumbe watakaopiga kura.
 
Mbowe ni jabali la siasa za upinzani Tanzania. Anajibu kupitia watu wapuuzi kama Yericko, Ntobi na MMM.
 
Unajua maana ya HEKIMA?
Hekima pia ni kujua ni wakati gan unapaswa kuondoka na kuwaachiq wengine

JUHA NDIO ANANGANGANIA MADARAKA
 
Chadema haiwezi kuiondoa CCM madarakani wanataka katiba mpya wakati ya kwao pia ina mapungufu waanze kwa kurekebisha katiba yao na sheria za uchaguzi wao wa ndani uwe mfano wa kuigwa tena wakitumia mfumo wa kidijitali ndiyo watakuwa na suluhisho la kuiondoa CCM madarakani kwa maana tutakuwa na mfano halisi, wa kuigawa wa upigaji kura
 
Unajua maana ya HEKIMA?
Hekima pia ni kujua ni wakati gan unapaswa kuondoka na kuwaachiq wengine

JUHA NDIO ANANGANGANIA MADARAKA
Hekima ni kujitosa kugombea kwenye uchaguzi wa kidemokrasia kulingana na katiba Yao. Anatuhumiwa uongo naye hukumzuia mtu mwenye sifa ya kugombea anapata nafasi Hivyo. Na kinyamaza KIMYA kusubiri sanduku la kura kuongea.
 
Muda ukifika,Taifa letu litapata katiba mpya kama ilivyo mataifa mengine. Tusitegemee Chadema pekee kuleta katiba mpya bali Watanzania wote.
 
Ajibu nn unataka ,ukweli hujitenga na uwongo

hujamwona wenje alivyoharibu zaidi
 
Kujitoaje? Nini maana ya Demokrasia? Acha kura iamue.
Wanajua yule jamaa yao, hatamuweza, ndiyo maana unasikia nyimbo kibao, za ajitoe! Ajitoe! Kama anao ufunguo, wanaomshabikia, wanaogopa nini mlango ukiwa umefungwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…