OPEN the Door
Senior Member
- Nov 15, 2024
- 170
- 84
- Thread starter
- #41
Mbowe siyo mwoga. Ni mwandemokasia. Kumbuka aliwahi kuwa mwenyekiti wa ADU.Kujawa na uwoga siyo kutulia 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe siyo mwoga. Ni mwandemokasia. Kumbuka aliwahi kuwa mwenyekiti wa ADU.Kujawa na uwoga siyo kutulia 🐼
🙏🙏🙏🙏Kweli mkuu.Umenena ukweli.Nafsi Yako ni HURU.
Siyo kweli Kwa maana Tutatunga katiba mpya yenye ukomo wa madaraka.Mbowe akiwa raisi hawezi kuachia madaraka.Mungu tunakuomba utuondolee Mbowe ili Tanzania ipate mabadiliko
siku ya kupiga kura haiwezi kua siku ya kampeni kwa mujibu wa katiba na sheria gentleman.SAWA mkuu, Mimi si mwanachama wa Chadema ila ningependa mambo Yao wasiyamwage hadharani. Kampeni Yao si wakafanyie siku ya upigaji kura?
hiyo iko kwenye katiba ya chadema sio makelele na mdomo wa mtu 🐒Uchaguzi HURU wa kidemokrasia wenye uwazi
Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona mwenyekiti Freeman AIKAELI Mbowe ametulia.
Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonyesha Hekima,busara, uongozi uliotukuka.
Bila shaka wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/012025.
Huo ndo ukweli. Makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.
Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.
Nawasilisha.
Bado mshindi hayupo mpaka kura zipigwe na zikihesabiwa ndiyo mshindi atangazwe. Ninachoona Kuna watu wanaongea na kupendekeza watu wanowataka ingawa si wajumbe watakaopiga kura.siku ya kupiga kura haiwezi kua siku ya kampeni kwa mujibu wa katiba na sheria gentleman.
kampeni zilianza tangu pale, kila mtangaza nia alipoambatana na wapiga kura waka wakati akitangaza kuwania nafasi hiyo, Lakini kampeni zilendelea pia kisayansi siku ya kwenda kuchukua na kurudisha fomu ya kugombea.
Hata hivyo,
kisayansi kampeni zinaendelea na tayari mshindi anaonekana bayana bila kupepesa macho 🐒
Unajua maana ya HEKIMA?Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona mwenyekiti Freeman AIKAELI Mbowe ametulia.
Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonyesha Hekima,busara, uongozi uliotukuka.
Bila shaka wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/012025.
Huo ndo ukweli. Makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.
Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.
Nawasilisha.
Duh, maoni Yao yaheshimiwe.Mbowe ni jabali la siasa za upinzani Tanzania. Anajibu kupitia watu wapuuzi kama Yericko, Ntobi na MMM.
Chadema haiwezi kuiondoa CCM madarakani wanataka katiba mpya wakati ya kwao pia ina mapungufu waanze kwa kurekebisha katiba yao na sheria za uchaguzi wao wa ndani uwe mfano wa kuigwa tena wakitumia mfumo wa kidijitali ndiyo watakuwa na suluhisho la kuiondoa CCM madarakani kwa maana tutakuwa na mfano halisi, wa kuigawa wa upigaji kuraHabari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona mwenyekiti Freeman AIKAELI Mbowe ametulia.
Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonyesha Hekima,busara, uongozi uliotukuka.
Bila shaka wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/012025.
Huo ndo ukweli. Makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.
Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.
Nawasilisha.
Hekima ni kujitosa kugombea kwenye uchaguzi wa kidemokrasia kulingana na katiba Yao. Anatuhumiwa uongo naye hukumzuia mtu mwenye sifa ya kugombea anapata nafasi Hivyo. Na kinyamaza KIMYA kusubiri sanduku la kura kuongea.Unajua maana ya HEKIMA?
Hekima pia ni kujua ni wakati gan unapaswa kuondoka na kuwaachiq wengine
JUHA NDIO ANANGANGANIA MADARAKA
Muda ukifika,Taifa letu litapata katiba mpya kama ilivyo mataifa mengine. Tusitegemee Chadema pekee kuleta katiba mpya bali Watanzania wote.Chadema haiwezi kuiondoa CCM madarakani wanataka katiba mpya wakati ya kwao pia ina mapungufu waanze kwa kurekebisha katiba yao na sheria za uchaguzi wao wa ndani uwe mfano wa kuigwa tena wakitumia mfumo wa kidijitali ndiyo watakuwa na suluhisho la kuiondoa CCM madarakani kwa maana tutakuwa na mfano halisi, wa kuigawa wa upigaji kura
Kwa hiyo unataka LISSU apige penati bila golikipa kuwepo golini?Mzee angejitoa tu yaishe
Wanajua yule jamaa yao, hatamuweza, ndiyo maana unasikia nyimbo kibao, za ajitoe! Ajitoe! Kama anao ufunguo, wanaomshabikia, wanaogopa nini mlango ukiwa umefungwa?Kujitoaje? Nini maana ya Demokrasia? Acha kura iamue.