Pre GE2025 Mbowe ametulia, hajibu tuhuma anazitupiwa na watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima na busara ya uongozi

Pre GE2025 Mbowe ametulia, hajibu tuhuma anazitupiwa na watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima na busara ya uongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona mwenyekiti Freeman AIKAELI Mbowe ametulia.

Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonyesha Hekima,busara, uongozi uliotukuka.

Bila shaka wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/012025.

Huo ndo ukweli. Makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.

Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.

Nawasilisha.
Sasa Kama hata Lissu anaogopa kula Kwa mbowe, kuna busara tena?

Inanyesha kidogo sana lakini pia lote linavuja
 
Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona mwenyekiti Freeman AIKAELI Mbowe ametulia.

Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonyesha Hekima,busara, uongozi uliotukuka.

Bila shaka wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/012025.

Huo ndo ukweli. Makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.

Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.

Nawasilisha.
Hana lolote .

Sio kila ambae hajibu tuhuma ana hekima..

Mbowe hana hekima hasa kwenye sababu zake za kugombea uenyekiti zamu hii.
 
Hana lolote .

Sio kila ambae hajibu tuhuma ana hekima..

Mbowe hana hekima hasa kwenye sababu zake za kugombea uenyekiti zamu hii.
Kwani hapo hana Hekima kivipi? Yaani Tundu Lisu anaogopa kugombea nafasi Hivyo akiwa na Mbowe au ulitaka spite bila kupingwa? Fafanua mkuu.
 
Ukweli utaujibu kwa kutumia nini? Uongo?

Ukweli huwa una maliza kiu ya maswali, na uongo huwa unazidisha zaidi maswali.

Muhimu ni kukaa kimya na ndicho alichokifanya.

Mfano mzuri si unuona kwa machawa wake! Kila wanapojibu tuhuma na maswali yanazidi kuulizwa zaidi juu yao!
 
KWA NINI MBOWE HATAKI KUACHIA UENYEKITI WA CHADEMA

Mbowe ni Mwanachama pekee asiye na hasara ndani ya CHADEMA na mnufaika Mkuu japo wengi hawaoni kwa macho ya kawaida na anatumia mbinu zifuatazo;

1. Pesa yake yoyote ile anayoitumia ndani ya CHAMA inaandikwa kama mkopo na CHAMA kikipata fedha kwa njia ama ya Ruzuku, Chadema Digital ama Join the Chain analipwa kama mfadhiri wa chama.

Kama Mbowe yeye kila pesa yake anayoitumia ndani ya CHADEMA analipwa kama deni na anaitwa mfadhiri wa chama; sisi wengine anaotuita wabangaizaji ni nani anatulipa hizo chenji zetu za jero jero ambazo tunaamua kushinda ama kulala njaa ili tuki-support chama?

Hakika haya ni mambo ya aibu sana yasiyovumilika kwa kila mpenda mabadiliko wa nchi hii.

2. Mbowe ndiye Mwanachama pekee wa CHADEMA ama wa upinzani kwa sasa anayeweza kuipinga Serikali ya CCM hadharani; na ASITEKWE wala kuumizwa mwili wake hata kwa rungu ama jiwe na dola hii ya CCM ama huyu Mbowe hajawahi kupata athari yoyote ile kutokana na kukaa kwake gerezani kwa sababu; Mbowe akipelekwa gerezani inakuwa fursa ya kuweka sawa mipango yao na watu wa dola na mipango ikishakaa sawa anatolewa na anaambiwa aandike hasara zake zote alipwe na serikali na kweli analipwa.

Kama ni uongo, Mbowe atoke hadharani akatae kama hajalipwa Mabillioni ya Shilingi na Serikali ya CCM kama fidia ya hasara za kisiasa. Haya yote ni yanatokea hivi kwa sababu; Mbowe ni; mwenzao tangu enzi japo tulipoteza muda wetu mwingi sana kumuamini pasipo kujua.

Tazama Tundu Lissu anavyohangaika kudai hata hayo madai yake ya halali aliyotibiwa kama Mbunge baada ya kumuumiza vibaya sana kwa risasi za moto.

Kwamba, wapo tayari kumhonga Lissu Mabillioni ya Shilingi kupitia kwa Wenje na Abdul, lakini hawako tayari kumlipa gharama zake za matibabu ambazo ni halali yake kwa mujibu wa sheria za nchi.

3. Mbowe ni Mwanachama pekee ndani ya CHADEMA ambaye hajawahi kuishi nje ya nchi kama MKIMBIZI kutokana na usalama wake kuwa hatarini wala familia yake haijawahi kupata msukosuko kama ambavyo tunaona kwa wapinzani wa kweli walio committed kutaka CCM iondoke madarakani kama akina Godbless Lema na huyu Tundu Lissu.

Unahisi ni kwa nini Mbowe na familia yake hawajawahi kupata msukosuko serious wa kuwalazimu kuikimbia nchi ili hali na yeye anaikisoa serikali? Jibu liko Behind the Scene. Tuendelee kunywa mchuzi, nyama ziko chini.

Garatwa Francis,
Sauti ya wasio na Sauti.
29 Desemba, 2024.
 
Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe ametulia.

Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima, busara, uongozi uliotukuka.

Bila shaka wajumbe wa Mkutano Mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/01/2025.

Huo ndo ukweli. Makamu Mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.

Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.

Nawasilisha.
Hata ungekuwa wewe ungejibu nini sasa?.
 
Kambi ya Lissu wasije kuingia katika uchaguzi na matokeo yako mfukoni - watapata kipigo watalia na kusaga memo huku wakitimkia kwa Zitto kumpigia magoti awasajili.
 
Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe ametulia.

Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima, busara, uongozi uliotukuka.

Bila shaka wajumbe wa Mkutano Mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/01/2025.

Huo ndo ukweli. Makamu Mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.

Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.

Nawasilisha.
Anayo majibu?
Kama anagombea bila agenda yoyote ya maana.
 
Back
Top Bottom