Pre GE2025 Mbowe amteua Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa wakala wake Uchaguzi CHADEMA

Pre GE2025 Mbowe amteua Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa wakala wake Uchaguzi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai

Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai kuwa wakala wake katika zoezi la upigaji kura kwenye mkutano mkuu wa chama hicho ambapo wajumbe watafanya maamuzi ya kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho.
photo-output.jpeg

Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
 
Lema asije kukunja ngumi tu baada ya kuona kura za mgombea wake hazisomi
 
Lema asije kukunja ngumi tu baada ya kuona kura za mgombea wake hazisomi
Si wamesema hawana noma, matokeo yoyote yatapokelewa na maisha kuendelea kama kawaida 😂
 
Wakuu

Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai

Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai kuwa wakala wake katika zoezi la upigaji kura kwenye mkutano mkuu wa chama hicho ambapo wajumbe watafanya maamuzi ya kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho.
View attachment 3209183
Hii ni Demokrasi ya karne ya 22.
Mwenyekiti anatoana kamasi kutetea Nafasi yake. CCM hawathubutu Ngooooooooo kum- subject mwenyekiti wao kama CDM walivyo mfanyia huyu Mbowe. Ni precedent nzuri kwa kweli.

Huko chaguzi za Mbeleni itakuwa ni kutoana Kamasi tupu ktk chaguzi zijazo... Kongole CDM na democrasia yenu imeimarika, hakuna kupita kwa mseleleko... kila mtu lazima apambanie nafasi anayogombea kwa uwazi, ukweli na uhuru wa wazi... CCM munalo la kujifunza toka kwa CDM Kwa kweli.
 
Back
Top Bottom