Pre GE2025 Mbowe amteua Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa wakala wake Uchaguzi CHADEMA

Pre GE2025 Mbowe amteua Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa wakala wake Uchaguzi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lema kaanza kuulizia kama mpunga upo auze game.

Kaambiwa kura zinatosha hakuna haja ya kuhonga.
Umekuwa Mjinga Mjinga sana we Legend Acha kura zipigwe sio kuandika umbea na unafiki unafiki utadhani mtoto kumbe jitu zima.
 
Wakuu

Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai

Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai kuwa wakala wake katika zoezi la upigaji kura kwenye mkutano mkuu wa chama hicho ambapo wajumbe watafanya maamuzi ya kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho.
View attachment 3209183
Freeman alisema kile kitengo ni cha kujitolea hakina mshahara ila anapotumia gharama binafsi kuweka hadi ulinzi kwenye eneo la kupigia kura najiuliza mbona kama inatumika nguvu kubwa kugombea nafasi ya kujitolea isiyo na mshahara.
Kuna Sure Odds pale sio bure
 
Wakuu

Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai

Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai kuwa wakala wake katika zoezi la upigaji kura kwenye mkutano mkuu wa chama hicho ambapo wajumbe watafanya maamuzi ya kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho.
View attachment 3209183
Mkuu wa kitengo cha "Nyama choma na pombe za bure".
 
Boniface Jacob vs Godbless Lema

More info :

TUNDU LISSU AMTEUA LEMA KUWA WAKALA WAKE UCHAGUZI CHADEMA

1737483336746.jpeg

Mgombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa na makamu mwenyekiti anayemaliza muda wake, Tundu Antipas Lissu, amemteua Godbless Lema kuwa wakala wake katika uchaguzi unaofanyika leo.

Kuteuliwa kwa Godbless Lema, ambaye si mjumbe wa mkutano mkuu kwa sasa, kumetangazwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, John John Mnyika, leo Jumanne, Januari 21, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Tanzania.

Akitoa tangazo hilo wakala Godbless Lema muda mchache kabla ya uchaguzi huo kuanza, katibu mkuu J.J Mnyika amesema suala hilo halivunji kanuni za uchaguzi.
 
Naomba kuuliza, kwanini anaitwa Boni Yai? Yai ni jina la ukoo au la utani?
 
Back
Top Bottom