Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Nani hapo asiye mission town?Mbowe na mission town wenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani hapo asiye mission town?Mbowe na mission town wenzie
Tulia dawa iwaingie.Umekuwa Mjinga Mjinga sana we Legend Acha kura zipigwe sio kuandika umbea na unafiki unafiki utadhani mtoto kumbe jitu zima.
kah!Lema kaanza kuulizia kama mpunga upo auze game.
Kaambiwa kura zinatosha hakuna haja ya kuhonga.
Jasusi aelezea mbinu za kuyumbisha uchaguzi wa CHADEMA zilivyofeli, kwa kudhibitiwa na intelligence ya CHADEMA
View: https://m.youtube.com/watch?v=3Uz9in9k_6k
Mtateseka sana pindi LISSU atakapotangazwa kuwa mwenyekiti mpya wa CHADEMA.Lema kaanza kuulizia kama mpunga upo auze game.
Kaambiwa kura zinatosha hakuna haja ya kuhonga.
Tunasubli i Wazungu waondeke tumealika Wachina tu rafiki zetu wa kufa kufaaana ayatollah na Wazungu wapi na wapi!!! Apa sie mpaka wasepe ama tutatakesha nao chama akijawaalika kuja kukeshs atutaki uchokozi wao tangu lini Ayatollah na Wazungu !!!!!!!!Mbona wanachelewa sana kama ule wa NEC ya kina Mahela?
CCM mnajulikana tu kwa aina yenu ya uandishi.Lema anaona msaliti mwenziwe akiangua pua
CCM hawawezi kuthubutu.Imagine samia anapambana na mpina kwenye uenyekiti hali ingekuaje?