Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Lema kaanza kuulizia kama mpunga upo auze game.Boniface Jacob vs Lema
Kweli hii fainali ya kibabe.
Huu uchaguzi ni leo au kesho?Mbowe na mission town wenzie
Ndio unaendelea muda huu mkuuHuu uchaguzi ni leo au kesho?
Mbona wanachelewa sana kama ule wa NEC ya kina Mahela?Ndio unaendelea muda huu mkuu
Channel gan inaonyesha? UTV naona wameacha kuonyesha maana ukumbini magumashi mengiNdio unaendelea muda huu mkuu
Si wamesema hawana noma, matokeo yoyote yatapokelewa na maisha kuendelea kama kawaida 😂Lema asije kukunja ngumi tu baada ya kuona kura za mgombea wake hazisomi
Lema anaona msaliti mwenziwe akiangua puaBoniface Jacob vs Lema
Kweli hii fainali ya kibabe.
Hii ni Demokrasi ya karne ya 22.Wakuu
Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai
Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai kuwa wakala wake katika zoezi la upigaji kura kwenye mkutano mkuu wa chama hicho ambapo wajumbe watafanya maamuzi ya kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho.
View attachment 3209183
Hivi huu uchaguzi unafanyika lini, hadi usiku huu bado wanateua mawakala tu?Boniface Jacob vs Lema
Kweli hii fainali ya kibabe.
Unaendelea muda huu mkuuHivi huu uchaguzi unafanyika lini, hadi usiku huu bado wanateua mawakala tu?