johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Siku mbeleko ya dola itakapopasuka ndiyo utakuwa mwisho wa hilo genge lenu la kigaidiCCM ni raha tu
LINI?!!!Siku mbeleko ya dola itakapopasuka ndiyo utakuwa mwisho wa hilo genge lenu la kigaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani alikuwa akizungumza na ccm au Wanachadema?? Wakati mwingine siyo lazima mcomment.CCM ni raha tu
Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amelia kwa furaha baada ya kushuhudia imani kubwa waliyonayo Watanzania juu yake kupitia wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema.
Mbowe amesema kwa imani hii iliyoonyeshwa na wananchi kamwe hatawaangusha na kuwataka wananchi wasimlilie yeye kutokana na msalaba mzito alioubeba kwani kwake utumishi ni wito.
Source: Tanzania Daima
Maendeleo hayana vyama!
Yesu alisema mlilie watoto wenu
Rejea Musharaf wa Pakistan juzi alivyohukumiwa kunyongwa, halafu rejea na jirani zetu sudan walichomfanya Rais wao.CCM ni raha tu
Raha za kung’oa bendera?CCM ni raha tu
Stupid kweli wewe, CCM imekuwa paradise hadi iwe raha?CCM ni raha tu
Mh! Kumbe na wewe ni mjinga hivi!Daah kweli Wachaga na pesa Ni Kama samaki na maji..
Naona samaki imepata bahati ya kurudi majini ndo maana iliamua Hadi kutoa chozi la Furaha.
Nyie kondoo wa ufipan mlio inama amkeni Mnaliwa bila kujua.
Mwaka kesho 9th December Natumai Samaki zangu zitapanda Tena usafiri wa maji kwenda kuomba maridhiano Tena na jiwe Kama zilivyofanya mwaka huu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1298021
Sent using Jamii Forums mobile app