Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
Amezaliwa na kuzikuta hela kwenye viambaza vya nyumba ya baba yake.Ana shida gani?Hizo propagatiions zenu won't work!Haaa hiyo ni comedy ww, jiongeze, hapo analia kwa kufurahia kuendelea kuzipata ruzuku maana mwenyekiti angekuwa mwingine angezikosa hela hizo, think big
Magaidi🙄🙄??? Kwa hiyo Wana vilipuzi!¡! Mbona Polisi hawakamati Magaidi hawa??Siku mbeleko ya dola itakapopasuka ndiyo utakuwa mwisho wa hilo genge lenu la kigaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah kweli Wachaga na pesa Ni Kama samaki na maji..
Naona samaki imepata bahati ya kurudi majini ndo maana iliamua Hadi kutoa chozi la Furaha.
Nyie kondoo wa ufipan mlio inama amkeni Mnaliwa bila kujua.
Mwaka kesho 9th December Natumai Samaki zangu zitapanda Tena usafiri wa maji kwenda kuomba maridhiano Tena na jiwe Kama zilivyofanya mwaka huu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1298021
Sent using Jamii Forums mobile app
Pointi"Msinililie mimi.."
Kauli hii angeongea Magufuli ungesikia anajifananisha na Yesu, anajiona kama Mungu.
Hicho ndicho kiwango cha unafiki tulichofikia watanzania.

Hahaha namuona mwenyekiti kajifunga boyaDaah kweli Wachaga na pesa Ni Kama samaki na maji..
Naona samaki imepata bahati ya kurudi majini ndo maana iliamua Hadi kutoa chozi la Furaha.
Nyie kondoo wa ufipan mlio inama amkeni Mnaliwa bila kujua.
Mwaka kesho 9th December Natumai Samaki zangu zitapanda Tena usafiri wa maji kwenda kuomba maridhiano Tena na jiwe Kama zilivyofanya mwaka huu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1298021
Sent using Jamii Forums mobile app
ccm ni wizi tuCCM ni raha tu
Mbowe kasema wasimlilie yeye wamlilie nan....?
Mwaka huu ccm mtateseka Sana!!!!Daah kweli Wachaga na pesa Ni Kama samaki na maji..
Naona samaki imepata bahati ya kurudi majini ndo maana iliamua Hadi kutoa chozi la Furaha.
Nyie kondoo wa ufipan mlio inama amkeni Mnaliwa bila kujua.
Mwaka kesho 9th December Natumai Samaki zangu zitapanda Tena usafiri wa maji kwenda kuomba maridhiano Tena na jiwe Kama zilivyofanya mwaka huu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1298021
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo usanii tu! Mwenzenu analia kwa furaha ya ruzuku!Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amelia kwa furaha baada ya kushuhudia imani kubwa waliyonayo Watanzania juu yake kupitia wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema.
Mbowe amesema kwa imani hii iliyoonyeshwa na wananchi kamwe hatawaangusha na kuwataka wananchi wasimlilie yeye kutokana na msalaba mzito alioubeba kwani kwake utumishi ni wito.
Source: Tanzania Daima
Maendeleo hayana vyama!
Kwa kupita bila kupingwa indeedCCM ni shangwe kubwa mno kwa sababu mwenyekiti wetu wa CCM Dkt Magufuli anakubalika kwa watanzania kwa 100%
wako ndani ya mkondo[emoji23][emoji23][emoji23]Daah kweli Wachaga na pesa Ni Kama samaki na maji..
Naona samaki imepata bahati ya kurudi majini ndo maana iliamua Hadi kutoa chozi la Furaha.
Nyie kondoo wa ufipan mlio inama amkeni Mnaliwa bila kujua.
Mwaka kesho 9th December Natumai Samaki zangu zitapanda Tena usafiri wa maji kwenda kuomba maridhiano Tena na jiwe Kama zilivyofanya mwaka huu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1298021
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio raha ya kuaminiwa na wananchi!
Kuna wengine wakiona wananchi wanatamani 2025 JAMAA aongeze mingine japo MITANO tu!
Utasikia demokrasia demokrasia......
Wananchi wakiamua nani wa KUWAPINGA?
Mabeberu na vibaraka wao?
Hongera Mwenyekiti wetu Mbowe!
Hata itakapofika 2024 - PIGA MINGINE japo MITANO Baba!
CHADEMA haina mwingine mweye uwezo wa kuwa MWENYEKITI.
Msinililie mimi!