Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Kwani najua basiii, labda jiweMbowe kasema wasimlilie yeye wamlilie nan....?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani najua basiii, labda jiweMbowe kasema wasimlilie yeye wamlilie nan....?
Wajililie wenyewe na matumbo yao!
Hahahaaa........makamanda ni vipofu?!
Haaa hiyo ni comedy ww, jiongeze, hapo analia kwa kufurahia kuendelea kuzipata ruzuku maana mwenyekiti angekuwa mwingine angezikosa hela hizo, think big
Daah kweli Wachaga na pesa Ni Kama samaki na maji..
Naona samaki imepata bahati ya kurudi majini ndo maana iliamua Hadi kutoa chozi la Furaha.
Nyie kondoo wa ufipan mlio inama amkeni Mnaliwa bila kujua.
Mwaka kesho 9th December Natumai Samaki zangu zitapanda Tena usafiri wa maji kwenda kuomba maridhiano Tena na jiwe Kama zilivyofanya mwaka huu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1298021
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha.... Haya
Mimi siyo CCM Wala Chadema Wala ACT Ila naomba kuuliza Kama mtu wa kawaida.. Anaemfuata mtu na Anaefuatwa kuombwa maridhiano yupi Anateseka?M
Mwaka huu ccm mtateseka Sana!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha namuona mwenyekiti kajifunga boya
Mkuu wewe niwa kupuuzwa tu maana inaonekana Ni Mchumia tumbo tu huna la maana.Akili za kijinga sana hizi...
Yaani karne hii wengine wakimuona mtu bado wanaona kabila lake!
Sasa kabila ndo litaifanya Tanzania ifikie uchumi wa viwanda au ishindane na Kenya kidemokrasia ama kuikaribia Brazil kiuchumi?
Why lakini mnaziabisha akili zenu kiasi hiki??
Common guys! We can deliver better than these foolish thoughts!
Mkuu Mimi siyo mjingaMh! Kumbe na wewe ni mjinga hivi!
Unachojua ni kuandika andika vimaneno vyako lakini unaonekana wazi akili zako haziko mahali stahiki!Mkuu wewe niwa kupuuzwa tu maana inaonekana Ni Mchumia tumbo tu huna la maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amelia kwa furaha baada ya kushuhudia imani kubwa waliyonayo Watanzania juu yake
Hataki tumlilie kwa kuwa anauhakika fuko la ruzuku bado liko mikononi mwake,namkubali sana MboweMwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amelia kwa furaha baada ya kushuhudia imani kubwa waliyonayo Watanzania juu yake kupitia wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema.
Mbowe amesema kwa imani hii iliyoonyeshwa na wananchi kamwe hatawaangusha na kuwataka wananchi wasimlilie yeye kutokana na msalaba mzito alioubeba kwani kwake utumishi ni wito.
Source: Tanzania Daima
Maendeleo hayana vyama!
kupitia wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema.
Mbowe amesema kwa imani hii iliyoonyeshwa na wananchi kamwe hatawaangusha na kuwataka wananchi wasimlilie yeye kutokana na msalaba mzito alioubeba kwani kwake utumishi ni wito.
Source: Tanzania Daima
Maendeleo hayana vyama!
Acha kujificha wewe ni ccm kabisa,Kauli zako tu zinaonyesha ni jinsi gani unateseka!!!.Pole Sana kwa mateso unayoyapata!!Mimi siyo CCM Wala Chadema Wala ACT Ila naomba kuuliza Kama mtu wa kawaida.. Anaemfuata mtu na Anaefuatwa kuombwa maridhiano yupi Anateseka?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli hii Dunia Kuna vichwa vigumu kuelewa na hapa ndo Unaeza kuona ule usemi wa Ualimu Ni wito unavyofanya Kazi..Acha kujificha wewe ni ccm kabisa,Kauli zako tu zinaonyesha ni jinsi gani unateseka!!!.Pole Sana kwa mateso unayoyapata!!
Ruzuku ipo kwa mujibu wa katiba ya nchi, sio hisani wala msaada au kwa utashi wa nyau wa ccm, hapo meko anatamani hata kuzuia chadema wasipewe, ndio maana kuna wanga waliwahi kutoa ushauri eti ruzuku ifutwe kwa sababu tu na chadema wanapewa, miaka yote ccm walikuwa wakipewa ruzuku wachawi hawakuona kama hela zinapotea bure, leo kwa chadema ikawa nongwaHaaa hiyo ni comedy ww, jiongeze, hapo analia kwa kufurahia kuendelea kuzipata ruzuku maana mwenyekiti angekuwa mwingine angezikosa hela hizo, think big
Unateseka sana kijana!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli hii Dunia Kuna vichwa vigumu kuelewa na hapa ndo Unaeza kuona ule usemi wa Ualimu Ni wito unavyofanya Kazi..
Haya bhana mkuu endelea kukaza fuvu.
Sent using Jamii Forums mobile app