Mbowe amwaga Chozi, awataka wananchi wasimlilie yeye

Haaa hiyo ni comedy ww, jiongeze, hapo analia kwa kufurahia kuendelea kuzipata ruzuku maana mwenyekiti angekuwa mwingine angezikosa hela hizo, think big
Amezaliwa na kuzikuta hela kwenye viambaza vya nyumba ya baba yake.Ana shida gani?Hizo propagatiions zenu won't work!
 
CDM chama la watu, ndiyo tumaini pekee la watanzania lililobakia, na wakutuvusha hapo ni Mh. Mbowe na timu yake ya ushindi!!
Ajue tu kwamba umma wa watanzania wengi wanamwamini kupita kiasi - ukitaja wazelendo 10 wa kweli wa Taifa hii basi Mh. Mbowe lazima awemo.
 

Akili za kijinga sana hizi...
Yaani karne hii wengine wakimuona mtu bado wanaona kabila lake!
Sasa kabila ndo litaifanya Tanzania ifikie uchumi wa viwanda au ishindane na Kenya kidemokrasia ama kuikaribia Brazil kiuchumi?
Why lakini mnaziabisha akili zenu kiasi hiki??
Common guys! We can deliver better than these foolish thoughts!
 
"Msinililie mimi.."
Kauli hii angeongea Magufuli ungesikia anajifananisha na Yesu, anajiona kama Mungu.
Hicho ndicho kiwango cha unafiki tulichofikia watanzania.
Pointi


✔✔✔✔✔✔
 
Hahaha namuona mwenyekiti kajifunga boya
 
M
Mwaka huu ccm mtateseka Sana!!!!
 
Huo usanii tu! Mwenzenu analia kwa furaha ya ruzuku!
 
wako ndani ya mkondo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo, ila kwa era ya Jiwe, amahiyajika mti wa kuhimili kifo, ni wachacje sana. Mbowe one of them
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…