Mbowe amwaga Chozi, awataka wananchi wasimlilie yeye

Haaa hiyo ni comedy ww, jiongeze, hapo analia kwa kufurahia kuendelea kuzipata ruzuku maana mwenyekiti angekuwa mwingine angezikosa hela hizo, think big

Hivi hii propaganda ya kipumbavu na kijinga ikichagizwa na wimbo wa ruzuku ruzuku ya CHADEMA "kuliwa na mwenyekiti" mbona haishi na kukauka kwenye midomo yenu nyie wana-CCM maslahi?????

Hivi unajua ni chama gani chq siasa kinapokea fedha nyingi zaidi za ruzuku Tanzania?

Kwa taarifa yako ni CCM, more than 2bn Tshs kila mwezi!!

CHADEMA kinapata shilingi ngapi?.....Less than 400M Tshs per month!!

Kama mwenyekiti wa CHADEMA "anakula sana" fedha ya ruzuku kama mnavyoimba wimbo huu usio na chorus ya kuvutia wakati chama chake kinapata milioni chini ya 400 kwa mwezi....

Hivi itakuwa ni kwa kiwango gani mwenyekiti wa CCM taifa "anakula fedha" ya ruzuku kwa kuwa chama chake ndicho kinachovuta mpunga mrefu kila mwezi???

Hebu tupeni jibu sahihi kwa hoja hii iwapo fedha ya ruzuku inaweza kuliwa liwa ovyo tu na mwenyekiti wa chama f

ulani......!
 
Mkuu wewe niwa kupuuzwa tu maana inaonekana Ni Mchumia tumbo tu huna la maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taratibu naanza kujenga imani na watu wenye makengeza, mazingira ya bongo kuufanya upinzani kuwa imara na usisambaratishwe sio kazi rahisi hata kdgo, kengeza ni ishara ya maono ya mbali tusioona cc wenye macho ya kawaida. Hongera sana kamanda mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Mimi siyo CCM Wala Chadema Wala ACT Ila naomba kuuliza Kama mtu wa kawaida.. Anaemfuata mtu na Anaefuatwa kuombwa maridhiano yupi Anateseka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujificha wewe ni ccm kabisa,Kauli zako tu zinaonyesha ni jinsi gani unateseka!!!.Pole Sana kwa mateso unayoyapata!!
 
Acha kujificha wewe ni ccm kabisa,Kauli zako tu zinaonyesha ni jinsi gani unateseka!!!.Pole Sana kwa mateso unayoyapata!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli hii Dunia Kuna vichwa vigumu kuelewa na hapa ndo Unaeza kuona ule usemi wa Ualimu Ni wito unavyofanya Kazi..
Haya bhana mkuu endelea kukaza fuvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaa hiyo ni comedy ww, jiongeze, hapo analia kwa kufurahia kuendelea kuzipata ruzuku maana mwenyekiti angekuwa mwingine angezikosa hela hizo, think big
Ruzuku ipo kwa mujibu wa katiba ya nchi, sio hisani wala msaada au kwa utashi wa nyau wa ccm, hapo meko anatamani hata kuzuia chadema wasipewe, ndio maana kuna wanga waliwahi kutoa ushauri eti ruzuku ifutwe kwa sababu tu na chadema wanapewa, miaka yote ccm walikuwa wakipewa ruzuku wachawi hawakuona kama hela zinapotea bure, leo kwa chadema ikawa nongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…