Mbowe ana udhibiti wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ijayo ya CHADEMA, Lissu haelewani nao, atapitisha vipi hoja zake?

Nchi hii kila mtu ana njaa, mbele ya ulaji, watu wanauza mechi,Hao wajumbe ni njaa Kali tu, huyu mbowe, ana nguvu za ki uchumi, mwanzilishi wa chama, ni baba mkwe wake,
Viongozi, tulionao wanaakisi tabia zetu wana nchi, kama kitaa tu, tunazulumiana deal ikiwa tamu, hata huko kwenye siasa ni history hivyo,chadema, cuf, act, kwa maana ya mbowe, lipumba, Zito, hawana tofauti na samia, mkapa, kikwete,ukiwapa ikulu, wanaweza wakawa wabaya kuliko maghufuri, ni, swala la Utamu na wingi wa asali
 
Lwaitama anashauri chadema huyu anashauri CCM taabu wapi?
Gentleman,
nasisitiza mawaidha ya mzee Azaveli Lwaitama kuchukuliwa kwa uzito unaostahili na wanachadema wote lakini pia na wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa.

Ni muhimu sana 🐒
 
Gentleman,
nasisitiza mawaidha ya mzee Azaveli Lwaitama kuchukuliwa kwa uzito unaostahili na wanachadema wote lakini pia na wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa.

Ni muhimu sana 🐒

Mawaidha ya Prof. Lwaitama hayupo wa kuyapuuza labda kama alipata Div. 0 somewhere on the way.

Vinginevyo awe hata milango ya sekondari hakupata kuiona!
 
Mawaidha ya Prof. Lwaitama hayupo wa kuyapuuza labda kama alipata Div. 0 somewhere on the way.

Vinginevyo awe hata milango ya sekondari hakupata kuiona!
ndiyo gentleman,
mshike vizuri sana hiyo, alaa!🐒
 
Lissu hajui anachokitafuta.. asaidiwe haraka sana kuna shida sehemu
 
Ndugu ya hao wajumbe wote ni chawa wa mbowe ukiwamo ww. Wote wala walamba asali inayotoka ccm###mbowe must go
 
baada ya uchaguzi urudi na kichekesho chako hiki hata kama mbowe atapigwa chini
 
Maana yake mmeshamaliza kufanya kampeni. Haya hongereni sana na sasa rudini mkalale. Msituletee tena hizo nyuzi
 
Mtaongea mengi ila Subirini tarehe 21/01.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…