JipuKubwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 2,341
- 2,390
Lengo lao ni kuona kuna mpasuko zaidi ndani ya CDM kwasababu ina faida kwao CCM. Adui yako muombee njaa.Ni kwanini wafuasi kindkindaki wa CCM humu jukwaani wanampigia sana debe Mbowe na wanamponda sana Lissu ???!
[emoji15][emoji28][emoji1787]
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app