Mbowe ana udhibiti wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ijayo ya CHADEMA, Lissu haelewani nao, atapitisha vipi hoja zake?

Mbowe ana udhibiti wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ijayo ya CHADEMA, Lissu haelewani nao, atapitisha vipi hoja zake?

Nchi hii kila mtu ana njaa, mbele ya ulaji, watu wanauza mechi,Hao wajumbe ni njaa Kali tu, huyu mbowe, ana nguvu za ki uchumi, mwanzilishi wa chama, ni baba mkwe wake,
Viongozi, tulionao wanaakisi tabia zetu wana nchi, kama kitaa tu, tunazulumiana deal ikiwa tamu, hata huko kwenye siasa ni history hivyo,chadema, cuf, act, kwa maana ya mbowe, lipumba, Zito, hawana tofauti na samia, mkapa, kikwete,ukiwapa ikulu, wanaweza wakawa wabaya kuliko maghufuri, ni, swala la Utamu na wingi wa asali
 
Lwaitama anashauri chadema huyu anashauri CCM taabu wapi?
Gentleman,
nasisitiza mawaidha ya mzee Azaveli Lwaitama kuchukuliwa kwa uzito unaostahili na wanachadema wote lakini pia na wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa.

Ni muhimu sana 🐒
 
Gentleman,
nasisitiza mawaidha ya mzee Azaveli Lwaitama kuchukuliwa kwa uzito unaostahili na wanachadema wote lakini pia na wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa.

Ni muhimu sana 🐒

Mawaidha ya Prof. Lwaitama hayupo wa kuyapuuza labda kama alipata Div. 0 somewhere on the way.

Vinginevyo awe hata milango ya sekondari hakupata kuiona!
 
Mawaidha ya Prof. Lwaitama hayupo wa kuyapuuza labda kama alipata Div. 0 somewhere on the way.

Vinginevyo awe hata milango ya sekondari hakupata kuiona!
ndiyo gentleman,
mshike vizuri sana hiyo, alaa!🐒
 
Lissu hajui anachokitafuta.. asaidiwe haraka sana kuna shida sehemu
 
Lissu atafeli tu, hakuna namna.

Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa Kudumu, hivyo atajiunga na wenzake kumuhenyesha Lissu mpaka akimbie chama.

Bahati mbaya Lissu kaingia na mguu wa ugomvi akidhani yeye ndio atakuwa mfanya maamuzi wa chama, kumbe yeye atakuwa Mwenyekiti tu, maamuzi ya vikao yanafanywa na wajumbe. Technically, Mbowe atakuwa Mwenyekiti kuliko Lissu ndani ya Kamati Kuu. Huto tu hoja twa Lissu bila Mbowe na wenzake kutukubali, itakuwa ni kujilisha upepo tu.
Ndugu ya hao wajumbe wote ni chawa wa mbowe ukiwamo ww. Wote wala walamba asali inayotoka ccm###mbowe must go
 
Mbowe alijiandaa kugombea Uenyekiti tangu mwaka juzi, kwa hiyo alianza kuwapambania watu wake wapate nafasi katika ngazi za chini, I like waje wampigie kura.

Hujaona Lemma alivyokimbia? Lemma Alikuwa kambi ya Lissu, mwamba na yeye aka sponsor mtu wake, Lemma akastuka, hakugombea, jamaa akapita kama analia vile. Mshindi wa Kanda ya kaskazini ndiye alimsindikiza Mbowe kuchukua fomu.

Pia Morogoro, Lissu alikuwa na Jumbe, Mbowe Devotha Minja. Jumbe alipigwa kama paka wa baa. Kanda ya Nyasa, Msigwa yuko na Lissu, Sugu na Mbowe, matokeo yako wazi. Kwa hiyo wagombea wa kambi ya Lissu nchi nzima walikaangwa kama chips
baada ya uchaguzi urudi na kichekesho chako hiki hata kama mbowe atapigwa chini
 
Lissu atafeli tu, hakuna namna.

Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa Kudumu, hivyo atajiunga na wenzake kumuhenyesha Lissu mpaka akimbie chama.

Bahati mbaya Lissu kaingia na mguu wa ugomvi akidhani yeye ndio atakuwa mfanya maamuzi wa chama, kumbe yeye atakuwa Mwenyekiti tu, maamuzi ya vikao yanafanywa na wajumbe. Technically, Mbowe atakuwa Mwenyekiti kuliko Lissu ndani ya Kamati Kuu. Huto tu hoja twa Lissu bila Mbowe na wenzake kutukubali, itakuwa ni kujilisha upepo tu.
Maana yake mmeshamaliza kufanya kampeni. Haya hongereni sana na sasa rudini mkalale. Msituletee tena hizo nyuzi
 
Mtaongea mengi ila Subirini tarehe 21/01.
 
Back
Top Bottom