Mbowe anajilipa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi. Wapinzani ni walafi na wabinafsi

Mbowe anajilipa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi. Wapinzani ni walafi na wabinafsi

TUMI EPAFRA

Member
Joined
Jul 12, 2020
Posts
59
Reaction score
56
Hii inathibitisha CHADEMA inataka madaraka ili ile nchi, inathibitisha nia yao ya madaraka ni pesa kwao sio kwa wananchi, hawajali hata kujenga ofisi kuu ya chama, watajali vipi kujenga nchi yetu. Tazama video hii ya mwana CHADEMA anavyochambua chama chake, sio mwana CCM ila CHADEMA.

​
 
Character assasination lakini tukumbuke usemi wa "Usitupe mawe ukiwa ndani ya nyumba ya vioo". Naamini kuna wengi wa kusema mabaya ya wakuu wa CCM lakini dola itawaaacha?

Kwa mambo kama haya binafsi naomba iwe kama serikali za mitaa tu,litokee jambo wapinzani wafutwe au wakimbie maisha yaendelee.
 
Character assasination lakini tukumbuke usemi wa "Usitupe mawe ukiwa ndani ya nyumba ya vioo".Naamini kuna wengi wa kusema mabaya ya wakuu wa CCM lakini dola itawaaacha?
Kwa mambo kama haya binafsi naomba iwe kama serikali za mitaa tu,litokee jambo wapinzani wafutwe au wakimbie maisha yaendelee.
Itaondoka ccm na kizazi chake chadema ni ya wananchi na sio ya wachumia tumbo.
 
Mbona TANESCO ilikuws inalipa 200,000,000 kwa siku kampuni ya RICHMOND/DOWANS.
 
Mbona milioni 50 ni ndogo ccm mmeficha hela za umma uswis tanggu utawala wa mwinyi hadi leo tunataka mtuambie Lissu anakashifagani rais ajae Kama alinunua kivuko kibovu sema kama aliuza nyumba za serekali sema na kugawa kwa ndugu zake wasio wafanyakazi wa serekali sema hatutaki habari za kuunga unga
 
Back
Top Bottom