Mbowe anajilipa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi. Wapinzani ni walafi na wabinafsi

Mbowe anajilipa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi. Wapinzani ni walafi na wabinafsi

Tujihadhari na hawa new members wa June, July na August 2020 inaonekana wameletwa kwa kazi maalum .
 
Mbona iyo ndogo sana. Unakua mwenyekiti wa CCM anajilipa sh ngapi ukiachana na posho?
Magu anajilipa bilioni 1.2 kwaajili ya MATUMIZI BINAFSI kila mwezi, pesa hizo ni nje ya mshahara, posho, marupurupu na huduma nyingine zote anazogharamikiwa BURE na Serikali.

Hivi vitendo vya KIFEDHULI vya kupoteza wakosoaji, kushambulia wapinzani kwa vipigo na risasi mchana kweupe, kuchoma ofisi za upinzani, kuponda mawe watia nia wa urais kupitia upinzani na upuuzi mwingine mwingi tu usidhani vinatokea kwa bahati mbaya...
 
Kuna mtu aliahidi kuweka salary slip hadharani, bado hatujaiona hadi leo.

Lakini sheria inasemaje kuhusu mtu kutoa taarifa zake kwa umma? Benki ndio wametoa hiyo akaunt ya mteja wao?

Ikiwa kweli alikikopesha chama hizo pesa na taratibu zilifuatwa, zinaporejeshwa ni inakua nongwa?

Kama tuna takukuru, vyombo vya usalama na mkaguzi wa hesabu za serikali na kuna uozo wa namna hiyo unafanyika, tuna hasara sana.

Mwisho, niliwahi kusema siasa ni ajira kama ajira zingine na kuna watu kuendelea kuwa upinzani wananufaika zaidi.
 
“Kwa madai alikikopesha Chama”

Wanaishia hapo.

Hawaulizi wala hawatuambii, je ni kweli alikikopesha chama ??????
 
Hii inathibitisha CHADEMA inataka madaraka ili ile nchi, inathibitisha nia yao ya madaraka ni pesa kwao sio kwa wananchi, hawajali hata kujenga ofisi kuu ya chama, watajali vipi kujenga nchi yetu. Tazama video hii ya mwana CHADEMA anavyochambua chama chake, sio mwana CCM ila CHADEMA.

​
Manyani mnahangaika sana,aliyekupa kibali cha kutangaza mshahara wa Mh. Rais hadharani ni nani?
 
Kaa tulie dawa iwaingie nyie majambazi sugu..

Aliekudanganya magu analipwa ml9 ndio hyo hyo alieondoka na akili zako.
Sio kulipwa Mkuu, magu ANAJILIPA bilioni 1.2 kwaajili ya MATUMIZI BINAFSI kila mwezi. Pesa hiyo ni nje ya mshahara, posho, marupurupu na huduma nyinginezo.

Urais mtamu sana, usione usishanagae utitiri wa vijana wenye njaa humu mitandaoni kutwa kucha ni kusifia, kuabudu, kutukuza na kupamba kwa mapambio sifa HEWA za Mwenyekiti kwa ujira wa elfu saba saba za huko Lumumba.
 
Mhhhh kajuaje balance ya kwenye account ya MTU mwingine? Dishi limeyumba huyu..
 
Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema kama alivyo jiwe kuwa mwenyekiti wenu anaye nunua jogoo kwa 100 000-
 
Tumesha wapa taarifa kuwa nyinyi wahamiaji haramu mjiandae kurudi kwenu Burundi
 
Mbowe na zitto wanajua kabisa vyama vyao haviwezi kushinda uchaguzi wa October ndio maana wao wakarudi kugombea ubunge majimboni kwao ili waendelee kupata vijisent vya posho...


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwanini asijilipe wakati Sacco's Ni yake? Mbona hiyo ndogo uliza Makato ya Mishahara ya wabunge iko wapi! Chadema Ni Mali yake na baba mkwe wake mwache ale anavyojisikia
 
Kwanini asijilipe wakati Sacco's Ni yake? Mbona hiyo ndogo uliza Makato ya Mishahara ya wabunge iko wapi! Chadema Ni Mali yake na baba mkwe wake mwache ale anavyojisikia
Kama joket anavoliwa na wakubwa
 
Nimekapenda hako kajamaa. Kamekwenda TLP na nguo za Chadema. Kama umekasikia kakisema Mbowe anajilipa mara 12 mshahara aupatao Magu (9m) nipe like kwani hata table ya 12 hakaijui. Amekomaa na miliion 50 lakini hasemi Mbowe amekopesha (kama ni kweli) kiasi gani? He cannot be serious.
 
Back
Top Bottom