TUMI EPAFRA
Member
- Jul 12, 2020
- 59
- 56
Wew jamaa wew[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itaondoka ccm na kizazi chake chadema ni ya wananchi na sio ya wachumia tumbo.Character assasination lakini tukumbuke usemi wa "Usitupe mawe ukiwa ndani ya nyumba ya vioo".Naamini kuna wengi wa kusema mabaya ya wakuu wa CCM lakini dola itawaaacha?
Kwa mambo kama haya binafsi naomba iwe kama serikali za mitaa tu,litokee jambo wapinzani wafutwe au wakimbie maisha yaendelee.
Hana ubavu wa kujibu hili swali akili aliziacha alipochukulia kadi.Hayo mamilioni anayohonga barabarani watu yanatoka wapi?
Pesa zote za serikali huwa anasema ni pesa zake, maendeleo sasahivi ni hisani yake.Nimefuatilia safari moja ya jiwe kutoka chato mpaka dar njiani kagawa rushwa zaidi ya milioni 90. Mamlaka na vyombo vya usalama wanamwangalia tuu