Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

Watu aina ya Mbowe wanahitajika sana kwenye siasa. Hawatetereki. Hawanunuliki. Wana principle zao. Hao hawapo wengi sana!
Nyerere, Mandela, Raila, Mnangagwa, Malema, et al harakati zao, ujasiri wao na maono yao yamewaibua wengi sana.
Ni ajabu humtaki Mbowe mtu alojitoa muhanga akiharibiwa na kuporwa kila alichokimiliki ili apige goti kumsujudu mwendazake na genge lake.
Mbeba maono ahangamii kirahisi rahisi!
 
Njia ya kuondoa makasiliko ni kunywa mkojo wako wa kwanza asubuhi na mapema utakuja kunishukuru😎
 
Mleta uzi safi sana Kwa uchambuzi murua. Sasa subiri MaCHADEMA yaje na matusi na kuropoka. Ukweli Mbowe hastahili kuongoza chochote hana moral authority. Kwanza kuishi na Joyce Mukya tu ilikua ticket bybye. Ila sababu CHADEMA ni y ukooo basi kaganda kama zuzu tuuu. Again povu ruxaaaa
 
ACHENI wivu sasa ulitaka mbowe aishi na wewe wakati hujui kuiosha😀
 
Acheni roho mbaya
 
Yaani mtoa mada ameweka fikra nyuma ya ubongo ,akiwa hawezi kutafakari kwanini Ushahidi wa kesi hii ulikatishwa njiani? Mtoa mada hawezi kutafakari kuwa kesi hii kuanzia mwanzo examinations za mawakali juu ya mashahidi zilileta maswali mengi mpaka majaji walikua wakipanda vyeo?
Yaan mtoa mada kaweka ubongo nyuma ya ubongo akiw ana macho,ana masikio na ubongo??
 
Watu mnawezaje kuwa wajinga namna hii?
 
Kwani ameomba wamtoe, hata kama lakini si nao madhahidi watakua hai likianzishwa? Kufuta kesi kuna advantage kubwa kwa Serikali kuliko kuendelea nayo wenye mbongo watajua hili.
 
Walisema kuna watu leo watalala na viatu mmojawapo ni huyu hajalala kabisa.
 
 
Pasuka sasa ndo IMEISHA HIYO
 
dpp ameondoa kesi kwa maslahi ya taifa au kwa hasara taifa? Tuhuma sio makosa lakini kwa mwenendo waushahidi uliotolewa mahakamani pamoja najaji kusema wana kesi yakujibu hakuna hata shahidi mmoja aliyethibitisha wale ni magaidi kwa mujibu washeria za kigaidi,.
 
Hakuna anayejibu hoja hata mmoja .

Chadema ya kujibu hoja haipo tena.
 
Mandela alipataje uhalali wa kuwa Rais wakati alikuwa amehukumiwa tayari kifungo cha maisha gerezani na akatoka kwa msamaha wa Rais. Mbowe Jaji amesema kwa mtazamo wake ameona wana kesi ya kujibu,hajamkuta na hatia. Jiepushe na chuki zisizo na msingi. Lisu ni juzi tu mashtaka yake ya uchochezi yamefutwa mbona hukulalamika kuwa hastahili kuwa makamu mwenyekiti kabla hajasafishwa na mahakama!!
 
Ukiweka siasa pembeni utaona kwamba ilimpasa mbowe ajitetee ili kuruhusu mchakato mzima kukamilika , ama la basi DPP asingefunga ushahidi na mahakama kutoa maamuzi kuwa ana kesi ya kujibu. Angepaswa kuonesha nia ya kutoendelea kabla ya kumaliza ushahidi wake na mahakama kutoa maamuzi.

Huu tena ni ushindi mwingine kwa serikali na maamuzi ya kukurupuka ya Chadema.

Hapa mmepigwa bao. Endeleeni tu kushangilia ila rekodi za mahakama zinawasuta.

Inashangaza eti mnaojiita Chama Kikuu cha Upinzani mnafanya reckless decisions kila mara. Hamfai kupewa dola.
 
Acha moyo mbaya mkuu...tupo duniani mkuu.......tunapita tu.Legeza kidogo moyo huo katili...relax tafadhali
 
Wewe ni kati ya wapumbambavu wanaoishi kwenye sayari hii pole sana
 
Baada ya mungu mtu wenu kufa mmekuwa desperate sana hamjaamini tu ?

Sasa tunaelekea mwaka bila yeye mkipenda mumfuate huko sasa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…