Mbowe anapaswa kukemewa na kila mpenda demokrasia, anaibomoa CHADEMA

Kuna utamaduni mbovu uliojengwa kimkakati na chawa wa mbowe kuwa kila anayetofautiana mawazo na mbowe ni msaliti.

Mbowe hata angefanya maovu hatakiwi kupingwa.
Makamanda hatupendi tuelezane ukweli...ila tunafahamu tulipojikwaa na tusiposhtuka imekula kwetu.
 
Ushahidi wa hizi hoja zenu ni upi?
Inshu siyo kuondoka mbowe tatizo ni makundi anayoyatengeneza Iri tu awazoofishe washindani wake ndani ya chama. Nani isiyefahamu kuwa chadema Leo hii imegawanyika maKundi2 moja likiongozwa na mbowe na jingine kundi la waungwana limesimama na Lissu

Imefikia hatua mpka mikutano ya Lissu wale chawa wa mbowe weto walioko kwenye mtandao wa x zamani Twitter hawaipositi wakizani ndio mjiapekee ya kumdidimiza

Kitu ambacho ni upuuzi mtupu. kwa sababu bidhaa adimu hujiuza yenyewe
 
Na ana machawa wengi sana, vijana wa chadema wote wanamlamba miguu.

Huwa nashangaa sana yerrico nyerere anavojifanya na misimamo ila kwa mbowe anakuwa mpumbavu na kuna yule maranja takataka kabisa ni chawa na mlamba matako wa mbowe.

Hawa vijana mbowe anaweza kuwaomba hata visivyoombwa na wakamtii
 
Mkuu upo Sawa kabisa alafu kuna mpumbavu atakuja hapa na povu jingi wakati ukweli upo wazi

leo anayesapoti mikutano ya Lissu ni Twaha na Maria kule x wengine wote wamejificha kwenye koti la arakati za kumshambulia ajati wamesahau ya kwao yapo wazi kama nyeo la nyani
 
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.

Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini.

1. Haamini katika nguvu ya kitaasisi.
Walio karibu na Mbowe wanasema Mbowe hataki kuachia uenyekiti kwasabb anaamini chadema ipo kwasabb ya uwezo wake binafsi wa kisiasa na kifedha. Haamini kuwa chadema kama taasisi inaweza kujisimamia, kujilinda na kujidumisha.

2. Mbowe ni mbabe na kigeugeu.
2021 Mbowe aliwatangazia wanachadema na watanzania kwa ujumla kuwa ifikapo 2023, ataachia uenyekiti wa chadema taifa, ili kupisha damu changa.

Pia sote tunakumbuka alivyogeuka ghafla na kumkabidhi hayati Lowasa tiketi ya chadema ya kuwania urais, mpk akajiita "Mzee wa kubadili gia angani".

Walio wengi akiwemo Sugu, Mnyika, Dr. Slaa na wengine wengi walitaka Lowasa akaribishwe chamani lkn asipewe nafasi ya kugombea urais. Mbowe alitumia ubabe.

Ili kuaiacha salama chadema ni vema akaachia ngazi. Goma lake la kila mwaka kuwa haondoki kwa kuwa anataka kujijenga na kukiimarisha chama limepigwa mara nyingi na limetuchosha maikioni.
Unashindwa kumchoka anayeuza Bandari,Ngorongoro,KIA,Misitu.......
 
Mbowe na mia

Kuna utamaduni mbovu uliojengwa kimkakati na chawa wa mbowe kuwa kila anayetofautiana mawazo na mbowe ni msaliti.

Mbowe hata angefanya maovu hatakiwi kupingwa.
Wenye Mbowe wao tumeridhika na huenda ndo nafasi ya ushindi wa CCM Sasa akitoka si mtapata shida? Tushaurini mambo mengine basi. Au mnamuogopa? Kama chama kinaharibiwa na Mbowe na mnadai ni chama chake inawahusu nn? Si ndiyo nafuu yenu? Tunzeni iwe Siri mtaongea kwenye kampeni kwamba Mbowe hataki kuachia madaraka. Huenda itawasaidia kwenye kampeni. Mawazo ya kitoto,!
 
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.

Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini.

1. Haamini katika nguvu ya kitaasisi.
Walio karibu na Mbowe wanasema Mbowe hataki kuachia uenyekiti kwasabb anaamini chadema ipo kwasabb ya uwezo wake binafsi wa kisiasa na kifedha. Haamini kuwa chadema kama taasisi inaweza kujisimamia, kujilinda na kujidumisha.

2. Mbowe ni mbabe na kigeugeu.
2021 Mbowe aliwatangazia wanachadema na watanzania kwa ujumla kuwa ifikapo 2023, ataachia uenyekiti wa chadema taifa, ili kupisha damu changa.

Pia sote tunakumbuka alivyogeuka ghafla na kumkabidhi hayati Lowasa tiketi ya chadema ya kuwania urais, mpk akajiita "Mzee wa kubadili gia angani".

Walio wengi akiwemo Sugu, Mnyika, Dr. Slaa na wengine wengi walitaka Lowasa akaribishwe chamani lkn asipewe nafasi ya kugombea urais. Mbowe alitumia ubabe.

Ili kuaiacha salama chadema ni vema akaachia ngazi. Goma lake la kila mwaka kuwa haondoki kwa kuwa anataka kujijenga na kukiimarisha chama limepigwa mara nyingi na limetuchosha maikioni.
Lakini mbona mkutano mkuu wa chama chake humchagua kwa kura zaidi ya 99%

Huwa hawaoni hayo mapungufu?
Au Huwa anawaonga wajumbe wote?

Lakini Habari ya mujini ni issue ya mama Abdul kugawa bahari na madini kwa mkopo wa vijicent kidogo kutoka Korea kusini

Msitutoe kwenye reli na kutusahaulisha mambo ya msingi ya nchi

Issue za mbowe ni za kawaida sana dogo
 
CHADEMA wanataka demokrasia nchini lakini wanataka Mbowe atawale milele. Hakika hiki ni kichekesho.
 
Mbowe ni hatari sana kupewa mamlaka ya inchi. Anaonekana ana tabia za usiri sana za hovyo na maamuzi ya hovyo ya kimya kimya. Mtu kama mbowe akipewa madaraka ya inchi kama urais anaweza kutumia vibaya hiyo power na kulivuruga taifa vibaya sana.

Angekuwa ni muungwana muda mrefu sana angekaa kando, sababu kifedha hayupo vibaya na anaweza kuishi nje ya siasa ila shida sasa mzee ana tamaa balaa.

Mleta uzi umemsanua vizuri sana. Chadema imekuwa kwasasa na sio tena mali au chama cha kundi fulani la watu ambao wanajinasibu nayo na kujiaminisha kuwa chama hakiwezi kwenda bila neno lao la mwisho. Huo ni upumbavu kama upumbavu mwingine.

Mbowe anatakiwa kulazimishwa kustep down, na wale wote ambao anawatumia kuendelea kuwa na influence hapo chadema waondolewe kama wahujumu wengine wanavyoondolewa hapo chadema.
 
Lakini mbona mkutano mkuu wa chama chake humchagua kwa kura zaidi ya 99%
Ving'ang'anizi wa madaraka ndiyo walivyo. Hata Kagame huwa anashinda kwa 98%
 
Mbowe asome alama za nyakati, kwa vipindi vyake amekifanyia chama chake mambo makubwa sana Kila mtu anajua. Lkn kwa sasa ukiiangalia kwa amakini chadema unaona kbs chama kimestaki, hakuna ubunifu, hakuna harakati zozote za maana, hakuna bavicha Wala bawacha ya kueleweka n.k...

Hii inaonesha ni kwa namna Gani mwenyekiti amepungukiwa nguvu kwa kiwango kikubwa sana eidha kachokwa na viongozi wenzake kwa hiyo hata ushirikiano anakuwa haupati kwa asilimia zote. pia mbowe kwa miaka ya hivi karibuni ameonesha sio mtu wa misimamo dhabiti. In short mbowe ang'atuke!
Asisubili chama kifike hatua za chama Cha mrema ama hashimu rungwe
 
watuwawili wanashindwa kukaa sawa na mnataka mupewe nchi?mnaakili nyie mataahila lis/mboe
 
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.

Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini.

1. Haamini katika nguvu ya kitaasisi.
Walio karibu na Mbowe wanasema Mbowe hataki kuachia uenyekiti kwasabb anaamini chadema ipo kwasabb ya uwezo wake binafsi wa kisiasa na kifedha. Haamini kuwa chadema kama taasisi inaweza kujisimamia, kujilinda na kujidumisha.

2. Mbowe ni mbabe na kigeugeu.
2021 Mbowe aliwatangazia wanachadema na watanzania kwa ujumla kuwa ifikapo 2023, ataachia uenyekiti wa chadema taifa, ili kupisha damu changa.

Pia sote tunakumbuka alivyogeuka ghafla na kumkabidhi hayati Lowasa tiketi ya chadema ya kuwania urais, mpk akajiita "Mzee wa kubadili gia angani".

Walio wengi akiwemo Sugu, Mnyika, Dr. Slaa na wengine wengi walitaka Lowasa akaribishwe chamani lkn asipewe nafasi ya kugombea urais. Mbowe alitumia ubabe.

Ili kuaiacha salama chadema ni vema akaachia ngazi. Goma lake la kila mwaka kuwa haondoki kwa kuwa anataka kujijenga na kukiimarisha chama limepigwa mara nyingi na limetuchosha maikioni.
Mbona Chadema kabla ya Mbowe ilifanya mabadiliko ya uongozi peacefully kumbuka enzi za Makani, je hakuna succession plan ingawaje CCM nao wanangojea aondoke wakiue kabisa
 
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.

Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini.

1. Haamini katika nguvu ya kitaasisi.
Walio karibu na Mbowe wanasema Mbowe hataki kuachia uenyekiti kwasabb anaamini chadema ipo kwasabb ya uwezo wake binafsi wa kisiasa na kifedha. Haamini kuwa chadema kama taasisi inaweza kujisimamia, kujilinda na kujidumisha.

2. Mbowe ni mbabe na kigeugeu.
2021 Mbowe aliwatangazia wanachadema na watanzania kwa ujumla kuwa ifikapo 2023, ataachia uenyekiti wa chadema taifa, ili kupisha damu changa.

Pia sote tunakumbuka alivyogeuka ghafla na kumkabidhi hayati Lowasa tiketi ya chadema ya kuwania urais, mpk akajiita "Mzee wa kubadili gia angani".

Walio wengi akiwemo Sugu, Mnyika, Dr. Slaa na wengine wengi walitaka Lowasa akaribishwe chamani lkn asipewe nafasi ya kugombea urais. Mbowe alitumia ubabe.

Ili kuaiacha salama chadema ni vema akaachia ngazi. Goma lake la kila mwaka kuwa haondoki kwa kuwa anataka kujijenga na kukiimarisha chama limepigwa mara nyingi na limetuchosha maikioni.
UKO SAHIHI
 
  • Thanks
Reactions: G4N
ingawaje CCM nao wanangojea aondoke wakiue kabisa
Hii ni hisia tu inayosambazwa na machawa wa Mbowe ili kujenga uhalali wa yeye kusalia kwenye uenyekiti. Chadema itakufaje kwa Mbowe kuachia uenyekiti? Atabaki kuwa mwanachama na mshauri wa chama
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Suala hapa sio mtu ni chama, kwa nini chama kimeridhika covid19 waendelee kuwa bungeni ? Kwani hakuna hatua zaidi za kuchukua kuwatoa bungeni? Kamati kuu mpo au lenu moja? Hili tatizo lishughulikiwa kimataifa kama kitaifa limeshindikana. Upinzani tuliokuwa na nia nao unazidi kufifia. Walio tumia rushwa kwenye chaguzi za chama si washughulikiwe? Na tujue pesa ya rushwa walipewa na nani? Inakatisha tamaa sana!
 
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.

Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini.

1. Haamini katika nguvu ya kitaasisi.
Walio karibu na Mbowe wanasema Mbowe hataki kuachia uenyekiti kwasabb anaamini chadema ipo kwasabb ya uwezo wake binafsi wa kisiasa na kifedha. Haamini kuwa chadema kama taasisi inaweza kujisimamia, kujilinda na kujidumisha.

2. Mbowe ni mbabe na kigeugeu.
2021 Mbowe aliwatangazia wanachadema na watanzania kwa ujumla kuwa ifikapo 2023, ataachia uenyekiti wa chadema taifa, ili kupisha damu changa.

Pia sote tunakumbuka alivyogeuka ghafla na kumkabidhi hayati Lowasa tiketi ya chadema ya kuwania urais, mpk akajiita "Mzee wa kubadili gia angani".

Walio wengi akiwemo Sugu, Mnyika, Dr. Slaa na wengine wengi walitaka Lowasa akaribishwe chamani lkn asipewe nafasi ya kugombea urais. Mbowe alitumia ubabe.

Ili kuaiacha salama chadema ni vema akaachia ngazi. Goma lake la kila mwaka kuwa haondoki kwa kuwa anataka kujijenga na kukiimarisha chama limepigwa mara nyingi na limetuchosha maikioni.
Fikra za Mbowe zidumu ✊✊✊💪hata Magufuli alisema haoni mtanzania mwingine mwenye uwezo wa kuongoza nchi ndio maana alitaka kubadili katiba abaki milele kwa hiyo Mbowe wetu, CHADEMA yetu, Sumaye aliposhindwa na kukosa uongozi alirirudi CCM sio ajabu Msigwa kuunga juhudi za CCM, hata SSH hajawahi kuchukua hatua yoyote kuzuia watu wasiongelee uchaguzi wa rais kwa kuwa anatajwa yeye na yeyote anayejitokeza au kuonyesha nia njema ya kugombea anasakamwa.... Kwani wengine hawana hiyo haki ya kuongoza??? Mbowe aachwe, ni mfano wa viongozi bora kabisa Tanzania
 
Mbowe anafanya nchi ikose chama cha upinzani imara. Inakera sana kuwa na watu wanaovuruga demokrasia.
 
Upande wa pili hata fomu ya ziada ya pili ili wawepo wagombea wawili na mmoja apatikane kwa mdahalo wa hoja nzito ndani ya chama kongwe dola kuwania nafasi ya urais Tanzania wamegoma kabisa kabisa kumpatia mwanaCCM mwingine zaidi ya aliye madarakani.
 
Back
Top Bottom