Fikra za Mbowe zidumu ✊✊✊💪hata Magufuli alisema haoni mtanzania mwingine mwenye uwezo wa kuongoza nchi ndio maana alitaka kubadili katiba abaki milele kwa hiyo Mbowe wetu, CHADEMA yetu, Sumaye aliposhindwa na kukosa uongozi alirirudi CCM sio ajabu Msigwa kuunga juhudi za CCM, hata SSH hajawahi kuchukua hatua yoyote kuzuia watu wasiongelee uchaguzi wa rais kwa kuwa anatajwa yeye na yeyote anayejitokeza au kuonyesha nia njema ya kugombea anasakamwa.... Kwani wengine hawana hiyo haki ya kuongoza??? Mbowe aachwe, ni mfano wa viongozi bora kabisa Tanzania