Mbowe anasema akiona chama chake kinazama anaingia mzigoni je ikitokea mungu alimchukua Nani anaingia mzigoni! Kumbe chama NI Mali yake.

Mbowe anasema akiona chama chake kinazama anaingia mzigoni je ikitokea mungu alimchukua Nani anaingia mzigoni! Kumbe chama NI Mali yake.

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Kutokana na maneno aliyoyasema mbowe akiwa nawaandishi wa habari nyumbani kwake Jana tarehe 18.12.2024 imejidhihirisha kuwa CHADEMA NI Mali ya mbowe maana kwa kinywa chake na nukuu" CHAMA CHANGU NIKIONA KINZAMA SHIMONI NITAINGIA MZIGONI "
Kwa maneno hayo inaonesha wazi kabisa chama hicho NI Mali yake
Siku zote nimekuwa nawaambia hapa kuwa CHADEMA NI kivuli cha CCM ambacho viongozi wa ccm wanamtumia mbowe kama mpinzani kumbe kiini macho sasa mapengo mumeanza kuyaona baada ya Tundu lisu kutema Cheche.
 
Maneno ya mbowe👇👇👇👇👇
 

Attachments

  • 20241219_123835.jpg
    20241219_123835.jpg
    135.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom