The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Binafsi nilikua nawaangalia tu mlipoitwa kujadili maridhiano ambayo hamkuelezwa mmekosewa wapi. Mkajibeba mzobe mzobe na rais akaja na mziki wake mpya akawaomba muingie kucheza.
Bila aibu mkausaliti umma wa watanzania uliokua nyuma yenu na kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii kuomba haki yao ya kusikilizwa hata kama hawakuandamana.
Rais akaanza kuwachezesha Ngoma inayoitwa 4R 😂😂. Mwenyekiti nae bila aibu akasahau kuwa aliitwa gaidi siku chache tu zilizopita akaanza kulisakata rhumba.
Akatoka kwenye vipaza sauti akimsifia mwenye kiremba kuwa anauongozi mzuri na anafuta demokrasia. Picha zikapigwa na kumbukumbi za picha mjongeo zikatunzwa.
Mbowe ulisikia wapi mtawala akaja na maridhiano wakati mfumo wake wa chama ndio unaongoza nchi?
Leo nimesikia kauli ya
Binafsi sijafurahi kwa watanzania na Viongozi wa CHADEMA.
wakikamatwa bila makosa? Je ni kosa kusafiri kwenda Mbeya?
Ni kosa kufanya majadiliano na mkutano wa ndani?
Mbowe toka hadharani tuombe radhi kwa kukipeleka chama kwenye maridhiano wakati mazingira ya siasa sio rafiki