Mbowe anastahili lawama asilimia 100 % Kwa kinachoendelea kwa demokrasia ya Tanzania na vyama pinzani

Mbowe anastahili lawama asilimia 100 % Kwa kinachoendelea kwa demokrasia ya Tanzania na vyama pinzani

Chaula ndiyo kawaponza, siri inahofia Gen-Z kuanzia Mbeya na kusambaa. Si unajua pia TLS na ile list, so wamestukia game. Ila moto ulikuwa unaenda kuwaka mkali sana.
Bado kitamuwakia tu huyu Maza
 
je ruzuku na posho azikate na inatolewa kwa mujibu wa sheria na kanuni. Hujui serikali inavyofanya kazi. usiwatoe watu kwenye ajenda muhimu ya ukamataji,utekaji,ajira, maisha magumu na katiba. achana na Mbowe. Anzisha chama chako uwe Mwenyekiti. chuki binafsi. laumu mfumo siyo personality
Sikatai maoni yako,ila lazima kujifunza tulipojikwaa,
 
Binafsi nilikua nawaangalia tu mlipoitwa kujadili maridhiano ambayo hamkuelezwa mmekosewa wapi. Mkajibeba mzobe mzobe na rais akaja na mziki wake mpya akawaomba muingie kucheza.

Bila aibu mkausaliti umma wa watanzania uliokua nyuma yenu na kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii kuomba haki yao ya kusikilizwa hata kama hawakuandamana.

Rais akaanza kuwachezesha Ngoma inayoitwa 4R 😂😂. Mwenyekiti nae bila aibu akasahau kuwa aliitwa gaidi siku chache tu zilizopita akaanza kulisakata rhumba.

Akatoka kwenye vipaza sauti akimsifia mwenye kiremba kuwa anauongozi mzuri na anafuta demokrasia. Picha zikapigwa na kumbukumbi za picha mjongeo zikatunzwa.

Mbowe ulisikia wapi mtawala akaja na maridhiano wakati mfumo wake wa chama ndio unaongoza nchi?

Leo nimesikia kauli ya
Binafsi sijafurahi kwa watanzania na Viongozi wa CHADEMA.

wakikamatwa bila makosa? Je ni kosa kusafiri kwenda Mbeya?
Ni kosa kufanya majadiliano na mkutano wa ndani?

Mbowe toka hadharani tuombe radhi kwa kukipeleka chama kwenye maridhiano wakati mazingira ya siasa sio rafiki
nikijuacho ni kwamba Rais hajawatuma mapolisi kufanya walichokifanya. ni mapolisi tu yanajipendekeza kwa watawala wanasiasa, na mengine yanatafuta u IGP. Mapolisi yanajipendekeza kijinga bila kujua yanamharibia Rais.
 
Amini usiamini,Rais anafaham hili na amekaa kimyaa.Maana yake amelibariki.
Ni uoga kuwazuia watu wasiende Mbeya.
Ajabu Mwenyekiti wangu anatolewa Selo kwa kauli ya Katibu mkuu.
 
Kwa akili yako, bila ku initaite majadilino, udikiteita wa samia asingeliufanya? Unataka kusema dictatorship ya samia root cause ni majadiriano? haya aliyoyafanya juzi ni sababu ya majadiliano?

If it were you as Mbowe, mtu anakuita kuwa njoo tuongee tuone huu mkwamo wa nyuma uliotokana na magufuli tunatokaje, ungelikataa? mwenye akili hawezi kukataa!

Now that true colors of Samia dictatorship zimejulikana, basi akiitwa akaenda tena, then tumlaumu.

MWISHO ISSUE YA JANA YA MAPOLISI ( OF COURSE WITH SAMIA''S GO AHEAD) WEWE UNGELIFANYAJE?
Hivi nyie mnasahau mapema sana sio?Akiwa madarakani Samia anahojiwa na Kikeke BBC akakiri kuwa Mbowe ni gaidi na alienda Kenya kujificha sijui na maneno gani.

Huku tuko street tunachanga waliokamatwa watoke,mzee Mbowe anaenda straight Ikulu kujadili Nini na mtu aliemuita Gaidi.

Lisu mbona alihoji haya mapema lakini Mbowe akaenda kwa Utashi wake.

Angekomaa hakuna maridhiano kama katiba ya Nchi ni ile ile.
Na niwaambie hizi sio Rangi za Samia ni Rangi za CCM,So alieko CCM haaminiki na asiaminiwe.

Inaendaje kwenye maridhiano ukiwa Hujui ulikosewa wapi,Vipi mashtaka yako ya Ugaidi.
 
Alienda kwenye maridhiano kwa maamuzi yakikao kipi cha Chama,ni mtu asie na akili atamtetea Mbowe kwa hili Ndio maana anaishia kujiinamia.

Ana mengi mazuri sana kama Kiongozi wangu lakini kwa Hili amekosea sanaa
 
NI KAMA UNAMPIGIA MBUZI GITAA TUH,MBOWE MWENYEWE NI DOUBLE AGENT ANAKULA HUKU NA HUKU,TOO BAD WEWE UNADHANI ANAWEZA KUWA MPIGANIA HAKI ZAKO,STUKA..!!
 
ACT,CCM ama kwingine kunakofanana na huko ndiko kwako.Wewe ni mmwaga sumu huna lolote.
 
Hivi nyie mnasahau mapema sana sio?Akiwa madarakani Samia anahojiwa na Kikeke BBC akakiri kuwa Mbowe ni gaidi na alienda Kenya kujificha sijui na maneno gani.

Huku tuko street tunachanga waliokamatwa watoke,mzee Mbowe anaenda straight Ikulu kujadili Nini na mtu aliemuita Gaidi.

Lisu mbona alihoji haya mapema lakini Mbowe akaenda kwa Utashi wake.

Angekomaa hakuna maridhiano kama katiba ya Nchi ni ile ile.
Na niwaambie hizi sio Rangi za Samia ni Rangi za CCM,So alieko CCM haaminiki na asiaminiwe.

Inaendaje kwenye maridhiano ukiwa Hujui ulikosewa wapi,Vipi mashtaka yako ya Ugaidi.
You need proof kuwa she was well informed kua Mbowe si gaidi ila na akaamua kumtesa, tumtese tu....! It might be and most likely so, Samia aliambiwa kuwa Mbowe ni gaidi, na kwa vile Samia si mtu wa kutumia akili zake, deep thinking, ni iyo ngekewa ya kufika hapa alipo and being a lady! Akikuita kuwa njoo tuongee, kama unafikiri kwa kina kwa siasa za afrika, huwezi kukataa. msikilize, then from there utaamua!

Hata sasa wamekamatwa viongozi wote wa chadema.... Think of this, Samia akisema Mbowe na Uongozi wako wa juu, njoo tuongee kuhusu haya yaliyowapata.... utaenda au hutakwenda?

Mimi nitakwenda kumsikiliza na kutoa yaliyo moyoni mwangu bila kificho........ kwa ujeuri na ustadi mkubwa!

Let discuss
 
Binafsi nilikua nawaangalia tu mlipoitwa kujadili maridhiano ambayo hamkuelezwa mmekosewa wapi. Mkajibeba mzobe mzobe na rais akaja na mziki wake mpya akawaomba muingie kucheza.

Bila aibu mkausaliti umma wa watanzania uliokua nyuma yenu na kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii kuomba haki yao ya kusikilizwa hata kama hawakuandamana.

Rais akaanza kuwachezesha Ngoma inayoitwa 4R 😂😂. Mwenyekiti nae bila aibu akasahau kuwa aliitwa gaidi siku chache tu zilizopita akaanza kulisakata rhumba.

Akatoka kwenye vipaza sauti akimsifia mwenye kiremba kuwa anauongozi mzuri na anafuta demokrasia. Picha zikapigwa na kumbukumbi za picha mjongeo zikatunzwa.

Mbowe ulisikia wapi mtawala akaja na maridhiano wakati mfumo wake wa chama ndio unaongoza nchi?

Leo nimesikia kauli ya
Binafsi sijafurahi kwa watanzania na Viongozi wa CHADEMA.

wakikamatwa bila makosa? Je ni kosa kusafiri kwenda Mbeya?
Ni kosa kufanya majadiliano na mkutano wa ndani?

Mbowe toka hadharani tuombe radhi kwa kukipeleka chama kwenye maridhiano wakati mazingira ya siasa sio rafiki
Kwahiyo mtu akikuita kwamba kuna mambo yanatakiwa yafanyike ili tuishi Kwa amani yaani Kwa mjibu wa Sheria ukaenda ni vibaya? Uchaguzi huru sawa, mikutano iendelee sawa, tutii katiba hata hii mbovu wakati tunaandaa katiba nyingine sawa, tuache lugha za matusi tuwe na siasa za kistaarabu sawa nk nk nk. Kakosea wapi? Kwanini usimlaumu aliyepindua 4R? Sometimes mnatukera mada nyingine sisi siyo watoto. Tunahitaji amani yetu, ya watoto wetu na wajukuu pia.
 
Mbowe na chadema na upinzani wote na polisi na ccm ni kitu kimoja kwenye kuhujumu nchi. Kwa sasa tanzania hakuna upinzani na mbowe kala njama na samia kwenye makubaliano yao kuwa wasiruhusu usajili wa chama kipya ni moja ya vitu wanavyo kubaliana hata sasa kati ya mbowe na samia ...lengo la mbowe ni kulazimisha watu kuitilia maanani chadema iliyo mfu kwa kukosa mbadala wa chama cha siasa huu uhuni wa mbowe na samia wa kukubaliana kutokusajili chama kipya ni sawa na uhuni wa ccm kuchapa form moja ya mgombea urais ndani ya ccm kwa kujua kuwa huyu aliyopo watu wanamchukia hivyo watumie mbinu za kufosi.
Spot on!!
 
Back
Top Bottom