Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

Tumekusikia,sasa nenda kaungane na akina Silinde, Lijuakali na Nassary kuunga juhudi za mungu wa Lumumba utapewa ubunge kama wenzako.
 
Mgombea wa uraisi kupitia muungano wa chadema na act ni Benard Membe. Hao wasingida wawili watakuwa wapiga debe tu wa Benard Membe.
Ova
 
Vyama pinzani vimeshakosa uelekeo mwaka huu,
 
Kila mjumbe alipiga kura tatu.

Mkuu nimeangalia Id yako ni ya March, nyingi ya id za kuanzia machi mpaka sasa ni za wanaccm, na ziko kwa mpango maalum wa kuitetea ccm wakati wa uchaguzi mkuu, na kuleta sintofahamu na uchonganishi ndani ya cdm.

Tufanye ni kweli usemayo, lakini uchaguzi wowote ni lazima kuwe na wapiga kura, na kila mtu anaweza kumchagua amtakaye au anayemuamini. Hapo kuna kosa gani. Isipokuwa sisi wapiga kura wengi wa upinzani tuna imani na Lisu. Hivyo maamuzi yoyote nje ya Lisu cdm wajue wamepoteza.
 
Habari za uhakika kutoka ndani ya kamati kuu ya CHADEMA jana ni kuwa wajumbe walipiga kura za kupendekeza majina matatu yatakayofaa kupeperusha bendera ya Chama hicho katika uchaguzi Mkuu. Kila mjumbe alipiga kura 3

Matoke ni kuwa Lazaro Nyalandu aliongoza kwa kura zote zilizopigwa na Lissu alikosa kura 4.

Mpinzani namba moja wa Lissu ni Mbowe.

Bado Lissu Mbowe amalize kazi nilishaandikaga humu.

Tusubiri Baraza kuu na Mkutano Mkuu!
 
Hizi habari zenu za ajabu ajabu wacheni kuhangaika.

Lissu kuwa na sifa ya kugombea Urais haiitaji akili ya mbinguni kutambua hilo, huyo ndie anaekubalika kwa sasa.

Halafu kumbe na wewe unapenda Lissu awe mgombea Urais na u CCM wako, ni vizuri.
 


Subirini Tuomboleze Msiba wa BWM na kusubiri huyo lISSU Arudi
 
Kwenye mgawo wa percentage ndio sijaelewa, huenda nilikimbia hesabu
Kama nimemwelewa vizuri mleta mada ni kuwa wajumbe 28, kila mmoja alitakiwa achague majina matatu ya kupeleka Baraza kuu. Ina maana wajumbe wote waliandika jina la Nyarandu lakini si wote walioandika jina la Tundu Lisu.

Lakini vyovyote vile iwavyo, Baraza Kuu ndilo litatoa jina la mgombea. Na sina shaka jina hilo litakuwa ni Tundu Antipas Lisu. Wengine wote watamuunga mkono kwa nguvu zao zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku nako wanatakuwa fisi wanaanza kutafunana wao kwa wao..😀
Mwandiko ka wa Bashite!
Aisee, hakuna rangi tutaacha kuiona watz!

#2020_twende_na_Rungwe_RaisiJMT
#CHAUMA_2020

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Ndugu yangu,
njozi mfu zinazokutesa ni dalili ya kutwaliwa na kuandamwa na shetani.
Utaweza kuachana nae tu kwa kutubu na kumrudia Mungu.
Ninazidi kukuombea kwa Mungu ili moyo wako upate wepesi wa kumkataa shetani na mambo yake yote.
Amen
 
kura halali 28..
nyalandu 28
lissu 24
mwingne 23

hio hesabu iko sawa kweli? au mim ndio sielewi
Watu 28 waliambiwa wachague majina 3 Kati ya watia nia 8., Kwenye list ya wapiga kura wote 28 Nyalandu alikuwepo, Lissu alitokea kwenye list ya wapiga kura 24 tu, na mwingine list ya wapiga kura 23. Kumbuka ni kupendekeza majina 3 Kati ya 8 yaliyokuwepo. Ukiumiza kichwa kidogo utaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…