Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

nishaelewa thanks
 
Mgombea wa uraisi kupitia muungano wa chadema ana act ni Benard Membe. Hao wasingida wawili watakuwa wapiga debe tu wa Benard Membe.
Ova

Uko sahihi, je una maoni mengine?
 
Wewe jikite kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubu huko CCM hawana mpango na wewe kwa wizi uliofanya Chadema na pia kabila lako halikubaliki huko CCM
 
Intelijensia ya chadema ni kubwa sana.. ikiwa hivyo ujue hata lissu ameridhiria! Chadema wanajua fika kuwa ccm wapo busy kuandaa mkakati wa kumzuia lissu ashindwe kushiriki kwenye uchaguzi ili kwa namna moja au nyingine wapite bila kupingwa! Mchezo umeshtukiwa wana lumumba wanahaha!
 
aliyeelewa hapa anieleweshe kilaza mimi,

Yaani wajumbe walewale walipiga kwa kima mtu individually au?
 
HUU NI UTOPOLOOO

100%+86%+82%=?
Watu 28 waliambiwa wachague majina 3 Kati ya watia nia 8., Kwenye list ya wapiga kura wote 28 Nyalandu alikuwepo, Lissu alitokea kwenye list ya wapiga kura 24 tu, na mwingine list ya wapiga kura 23. Kumbuka ni kupendekeza majina 3 Kati ya 8 yaliyokuwepo. Ukiumiza kichwa kidogo utaelewa.
 
aliyeelewa hapa anieleweshe kilaza mimi,

Yaani wajumbe walewale walipiga kwa kima mtu individually au?
Watu 28 waliambiwa wachague majina 3 Kati ya watia nia 8., Kwenye list ya wapiga kura wote 28 Nyalandu alikuwepo, Lissu alitokea kwenye list ya wapiga kura 24 tu, na mwingine list ya wapiga kura 23. Kumbuka ni kupendekeza majina 3 Kati ya 8 yaliyokuwepo. Ukiumiza kichwa kidogo utaelewa.
 
Mimi nimeishia la 7c bado sijakuelewa kabsaaaaa
 
Aiseeee kweli umekidhi vigezo vya kuwa MCHAWI.
 
Mimi nimeishia la 7c bado sijakuelewa kabsaaaaa
Okay... Wapiga kura 28 walipewa karatasi 28 zikiwa na majina 8. Kila mpiga kura alitakiwa aweke TICK ✓ kwenye majina matatu tu. Karatasi zilipokusanywa Nyalandu alikuwa na TICK ✓ 28 Kutoka kwa wote. Lissu alikuwa na TICK ✓ 24 kutoka kwa hao 24 Kati ya 28. Na mwingine jina silijui alikuwa na TICK ✓ 23 kutoka kwa hao 23 Kati ya 28. Kumbuka walitakiwa wapatikane tatu bora Kati ya 8. Umeelewa!??
 
*IDADI YA KURA ZILIZOPIGWA - 29*
*KURA ILIYOHARIBIKA - 1*
*IDADI YA KURA HALALI: 28*

*Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%)
*Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%)

*Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%)

Mmmmh!
 

Pengine kwa mantiki hii, lakini vinginevyo kwa kweli sijui
 
Kwa maoni yangu, kwa upande mmoja, kuna maswali ya kuuliza vyanzo vya habari hii ya mleta mada. 1) Kura zilizopigwa zilikuwa za siri au hapana? 2) Kama zilikuwa za siri, inakuwaje mtu mwingine kujua nani kampigia nani kura? 3) Kama taarifa hii ni ya kweli, kura iliyoharibika ilikuwa ya nani au kwa vile iliharibika mwenyewe hajulikani? Nikipata majibu ya maswali haya, naweza kuipa habari hii 'the benefit of the doubt'. Kwa upande mwingine, kwenye kupiga kura hakuna mantiki na sababu ya kumlaumu mpiga kura kwamba kwa nini kampigia 'A' na hakumpigia 'B' kwa sababu hakuna mwenye haki zaidi kati ya wapigiwa kura. Upigaji kura ni 'very subjective' au 'personal' unless kuna influence fulani. Kura ikishapigwa imepigwa na it's useless kumtafuta mchawi. Hapa nimechangia katika mkutadha kwamba 'kupiga kura ni uamuzi wa mpiga kura' na mtu hawezi kulaumiwa kwa kumpigia fulani kura na kumnyima mwingine.
 
Hapo nimekuelewa, lakini mbona kama njia ya kizamani hii, kwanini hawakutuia ya CCM?
 
Baada ya matokeo haya nikaanza upelelezi kujua nini kimejiri Kaka Tundu Lissu azidiwe kura na mh Lazaro Nyalandu.
Waachie Baraza Kuu wafanye kazi yao. Kazi ya Mgombea ni kuchuka form tu. Yeye na wapambe wake hawana tena mamlaka ya kuwapangia maamuzi "wajumbe". I hope for once Baraza watacopy mbinu ya CCM ya kuhesabu kura peupe bila chenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…