Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

*IDADI YA KURA ZILIZOPIGWA - 29*
*KURA ILIYOHARIBIKA - 1*
*IDADI YA KURA HALALI -28*

*Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%)
*Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%)
*Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%

28 + 23+ 24 + 1 = 29?

Hivi unafikiri watanzania wote ni kama wewe
 
Mimi Ninaona Ni sawa....

Kwani Wanaomjua Vyema Lissu watakuambia kuwa HAJATULIA....

Lissu ana tabia ya kipekee kabisa.....

Kudeal na Lissu ni KAZI NGUMU KWELIKWELI...

Haipingiki kuwa Lissu ana AKILI NYINGI.....ila.....tabia zake zilizo za tofauti.....

Halafu jamaa ni MBISHI zaidi ya Kaliba yake ya UWAKILI.....

Halafu jamaa ni MKAIDI zaidi ya UKAIDI wenyewe........

THINK THRICE
 
Ebu jipange upya kama kura zote ni 28 = 100% na amepeta nyalandu hizo zingine zimetoka wp?
 
Chadema ina wenyewe kama CCM yaani ....wengine washika mapembe tu, akili zitawakaa sawa ikiwa too late
 
Lissu hawezi kurudi mkuu...

Why is this fact ignored by many.!?

Mbowe analijua hilo na Lissu pia.
 
Mleta mada, ona aibu na ujicheke mwenyewe. Tazama unapojikamata na uzushi wapo hapo kwenye kura na asilimia zake. Propaganda zote zitapita, mgombea wa CHADEMA ni Lissu
 
tukumbushane wadau.....hivi leo ni tarehe 1 Aprili?
 
Chadema ina wenyewe kama CCM yaani ....wengine washika mapembe tu, akili zitawakaa sawa ikiwa too late
Ni Rahisi tu Nyalandu anahela ya kufanya be kampeni nchi nzima, Lisu anategemea ruzuku ya Chama na michango mbalimbali ya wadau.

Mpaka hapo utajua kwa nini Nyalandu anashinda.
 
Hapo penye kura ndipo propaganda hii inapobuma. Mleta mada anapaswa kujipanga upya na kurudi tena. Utaona atakavyorudi.
 
Asilimia zaidi ya 100%? Hiiiiiiiiiiiii.... Ukiwa mwongo, uwe na akili angalau ukubwa kiasi cha kuku vile.
*Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%)
*Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%)
*Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%)
 
mkuu umeandika idadi ya wajumbe 29 sasa hesabu zako hazieleweki:

nyalandu 28
Lissu. 24
Dr mayrose23
Jumla kura zote 77
Umeandika upuuzi
 
Mleta mada, ona aibu na ujicheke mwenyewe. Tazama unapojikamata na uzushi wapo hapo kwenye kura na asilimia zake. Propaganda zote zitapita, mgombea wa CHADEMA ni Lissu
Wapiga kura 28 walipewa karatasi 28 zikiwa na majina 8. Kila mpiga kura alitakiwa aweke TICK ✓ kwenye majina matatu tu. Karatasi zilipokusanywa Nyalandu alikuwa na TICK ✓ 28 Kutoka kwa wote. Lissu alikuwa na TICK ✓ 24 kutoka kwa hao 24 Kati ya 28. Na mwingine jina silijui alikuwa na TICK ✓ 23 kutoka kwa hao 23 Kati ya 28. Kumbuka walitakiwa wapatikane tatu bora Kati ya 8. Umeelewa!??
 
Acha upumbaf mkuu umeandoka idadi ya wajumbe 29 sasa hesabu zako hazieleweki:

nyalandu 28
Lissu. 24
Dr mayrose23
Jumla kura zote 77
Umeandika upuuzi
Wapiga kura 28 walipewa karatasi 28 zikiwa na majina 8. Kila mpiga kura alitakiwa aweke TICK ✓ kwenye majina matatu tu. Karatasi zilipokusanywa Nyalandu alikuwa na TICK ✓ 28 Kutoka kwa wote. Lissu alikuwa na TICK ✓ 24 kutoka kwa hao 24 Kati ya 28. Na mwingine jina silijui alikuwa na TICK ✓ 23 kutoka kwa hao 23 Kati ya 28. Kumbuka walitakiwa wapatikane tatu bora Kati ya 8. Umeelewa!??
 
268%????????
 
Binafsi naona njia ya TUNDU LISSU kugombea Urais kwa muhula huu ni ngumu namshauri asubirie kidogo...
 
Tangu lini umentakia mema Lisu?
 
kura zinapigwaje? kura ziko 29 jumla. tuchanganue kihesabu
ikaharibika 1.
TL kura 24
LN kura 28
Dr. kura 23
jumla kura 76.

Kihesabu Hii inaoneka uzushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…