Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

Hebu nisaidieni. Kura halali zilizopigwa ni 28. Mgombea Nyalandu alipata kura zote 28! Mgombea Lissu alipata kura 24! Wapiga kura walikuwa wanapiga kura ngapi ngapi? Kwa mahesabu hayo inaonekana HAIKUWA MTU MMOJA KURA MOJA bali nikupiga AS MANY TIMES OR TO VOTE AS MANY TIMES AS YOU WANT! Hapa naomba ufafanuzi jamani!
 
It is known kwa jinsi mazingira yalivyo, Tundu Lisu hawezi kurejea nchini hivi karibuni. Hivyo basi CDM wanajua kabisa kumpa Lissu ni kupoteza nafasi.
 
% za wapi hizi kama siyo unafki?
 
Kama kura halali ni 28 iweje Nyalandu apate zote 28, Lissu apate 24 Na Mayrose 23 ? Kwani ilikuwa inaruhusiwa kupigia wajumbe wote au unachagua mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo lisu haina haja ya kurudi tz
 
Waachie Baraza Kuu wafanye kazi yao. Kazi ya Mgombea ni kuchuka form tu. Yeye na wapambe wake hawana tena mamlaka ya kuwapangia maamuzi "wajumbe". I hope for once Baraza watacopy mbinu ya CCM ya kuhesabu kura peupe bila chenga

Kuna kipi cha kuiga kwenye hiyo mbinu ya ccm, wakati kikao cha kuamua nani apeperushe bendera ni cha siri? Ni sawa nakuona watu wakitongozana, lakini saa ya kuliwa tunda usione.
 
Ni Rahisi tu Nyalandu anahela ya kufanya be kampeni nchi nzima, Lisu anategemea ruzuku ya Chama na michango mbalimbali ya wadau.

Mpaka hapo utajua kwa nini Nyalandu anashinda.

Ni kweli kabisa, Nyalandu ndio mwenye hela, tena anaweza kupewa nyingine na ccm ili Lissu asigombee. Je Nyalandu ana imani na sisi wapiga kura wa upinzani? Maana akipita Nyalandu tutaendelea na kampeni yetu ya kutokupiga kura, kutokana na tume hii isiyo huru ya uchaguzi. Kwa maneno marahisi cdm waangalie kupitisha mwenye hela asiye na ushawishi, au wampitishe mwenye ushawishi asiye na hela.
 
Kama wajumbe walipiga kura tatu ili kuwatafuta watu watatu wa kwenda mkutano mkuu basi hesabu za mleta mada zinawezekana kabisa
 
Binafsi naona njia ya TUNDU LISSU kugombea Urais kwa muhula huu ni ngumu namshauri asubirie kidogo...

Ni hivi, atagombea kipindi hiki hiki, hatuna tatizo la yeye kushindwa, tuna tatizo la kushindwa kwa kunajisi box la kura.
 
Duh pole yake lissu, nikiangalia alivyojitoa kimaso maso kujiongezea chama, halafu leo hii anamwagwa kweli siasa ni fucken

Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Idadi ya kura zilizopigwani 28, Nyarandu kapa 28 zote,Lissu kapata 24,huyo mwingine 23.

Mbona kama umenichanganya,au kichwa changu hakielewi?
 
Mkutano Mkuu Wa chadema utaamua, jambo LA msingi wanatafuta mpeperusha Bendera Wa chama chao
 
Msome kwenye nyuzi zake za huko nyuma utaona ana tatizo na Mbowe. Ni mpiga ramli chonganishi.
 
Hivi ukisikia kuharisha lazima uutangazie umma kua sasa unaenda chooni kuharisha?
Baki na ccm yenu ya chadema achana nayo.

Afterall Lisu hawezi kuja tz kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…