Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

Kwani unadhani chadema hawamjui Tundu kama ni msaliti?
 
Ningepata na vitumbua ningeshushia.
 
Bado ccm mnaogopa tu hata baada ya kuwafungia wapinzania wasifanye siasa? Huu woga una sababu nayo ni ukweli kwamba ccm haina watu wa dhati wanoipenda isipokuwa wale vibarua wa kulipwa na chama. CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Yaani kwasababu wewe unamkubali Lissu ndo ulazimishe kila mtu amkubali.
 
Chedema ni SACCOS ya Mbowe na Lema ila ishakufa..sasa hivi inarusha rusha mkia tu ila haiponi..hata Lissu asipopata hii nafasi ni sawa kwasababu chadema imekufa.
 
Acha
 
Mbowe utapoteza vijana wote wanaounga mkono Chadema...iwe hii thread ni kweli au sio kweli...#Lissu4president2020
 
Kama kuna kaukweli hivi!! Naanza kuamini kwa mbaliiii!
 
Nyie kila siku "mpango wa Mungu" hata mzee EL mlisema vivyo vivyo...!!..msimchanganye Mungu kwenye mambo ya kipuuzi!!...shubaaamit
 
Dah, maisha yanaenda kasi sana! Yaani Lissu apitwe kura na Nyarandu tena ndani ya Chadema! Ndio maana sitaki unafiki wa kisiasa.
 

Ujumbe wako umekaa kishabiki kwani ni lazima wampigie Lissu? sasa kura za nini kama ni kulazimisha watu wampigie mtu fulani. Vilevile ni maandalizi Nyalandu kajiandaa zaidi huo ndiyo ukweli.
 
sina hakika kama wewe ni mtanzania wa kweli, nionavyo wewe ni mchonganishi mbaya kabisa, wewe uliona na ukaamini ni TL tu ndio ashinde?, ungeanza mapema kampeni zako ili pasingekuwepo na zoezi hili la kupiga kura angetangazwa tu TL ndiye mgombea. Kura ndivyo zilivyo kama kwani hao uliowataja hawakutakiwa kupiga kura?, kama kupiga kura ni haki yao wamempigia wanayemtaka ulitaka wafuate dhamira yako?!? acha hizo baana, mbona wengi tu wameangukia pua kwenye kura hizi za maoni?!?. Bado unayo nafasi ya kampeni yako bado kikao cha kuamua nani awe mgombea. kapige kampeni huko usije hapa na uchonganishi wako!!!!
 
Bado nadhani siyo wakati muafaka kwa Tundu Lisu kuchukua jukumu zito la kugombea urais mwaka huu, ukizingatia changamoto alizopitia na madhila yaliyompata katika harakati zake huku mazingira ya uhuru na demokrasia yakiwa tete ndani ya upinzani uliogawanyika sana. Tundu Lissu wa sasa angefaa awe mgombea katika mazingira ya 2015.
 
Hivi siku hizi JF imekuwa kijiwe au niseme nini? Is this still a reputable forum? Hii thread ni ya uongo na mbaya zaidi hizo asilimia zimewekwa hapo hata mbwa koko hawezi shindwa hesabu hiyo. Wapiga kura 29 moja iharibike halafu eti kila mmoja apate hizo asilimia zilizowekwa hapo? Ama kweli nilijisemea kuwa IF niliyojiunga 2008 just after kufuata kwa Jambo Forum siyo hi ya leo. Kitendo cha kutangaza kaxi waziwazi na kujaza watu wenye utata ndiyo ilikuwa mwisho wa ubora wa Forum hii.
 
Hivi unajua moja Kati ya haya ni kosa la jinai?
1. Uzushi
2. Udukuzi
Hizo tu hesabu zake za kura zimekaa kifisiemufisiemu mtu anashinda kwa 100% anaefuatia badala ya 0% anapata 86% hivi mmemuuliza mleta mada alisomea utopolo au wapi?
 
nzi wa kijani wewee yaani hapa ndio umeonyesha uzwazwa wako wa lumumba insi mnavohangaisha makalio yenyu yaani hata pa kuyaweka mmepapotea.. shwaini nyie..
haya hebu kwanza jumlisha hizo kura zote zilizopigwa jumla zilikuwa ngapi.. shwain ww
*IDADI YA KURA ZILIZOPIGWA - 29*
*KURA ILIYOHARIBIKA - 1*
*IDADI YA KURA HALALI -28*
👎

*Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%)
*Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%)
*Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%)
jumla ya kura zote 75
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…