Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panya buku, Nenda msibani Wacha kutufitinishaNdugu wana bodi.
Kupitia vyanzo vyangu makini vya kimtandao nimepokea taarifa kuwa kamati kuu ya CHADEMA imefanya uamuzi kwa kupiga kura. Uamuzi wa kupendekeza nani awe mpeperusha bendera mkuu wa CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka huu 2020. Yaani mgombea Urais.
Ukweli ni kwamba kati ya watu 8 waliorudisha fomu ni watu wawili tu wenye ushindani.
1. Mh Tundu Lissu
2. Mh Lazaro Nyalandu.
Hawa wote ni wenyeji wa mkoa wa Singida na wote ni wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa.
Binafsi nilishitushwa sana kiasi cha kubadilisha mapigo ya moyo wangu baada ya kuona matokeo ya kura za maoni za kamati kuu ya CHADEMA.
Kilichonishitua ni kuona ``think tank`` ya CHADEMA inaamini Mhe Lazaro Nyalandu ni bora kuliko Mhe Tundu Lissu aliyekinga chama kwa damu yake na risasi 16 ambazo mpaka sasa hatujajua Kama kweli zilikuwa zinampiga au malaika walitega migongo yao ndio ikapigwa lisasi kwa niaba yake? Kwasababu mpaka sasa watanzania na wanachadema bado wanajiuliza huyu jamaa aliponaje!!
Bila kutia chumvi yafuatayo ni matokeo ya tatu bora za maoni ya kamati kuu ya CHADEMA
KURA ZA WAGOMBEA URAIS JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KAMA ZILIVYOPIGWA NA KAMATI KUU YA CHADEMA, DAR ES SALAAM, JULY 22, 2020
*IDADI YA KURA ZILIZOPIGWA - 29*
*KURA ILIYOHARIBIKA - 1*
*IDADI YA KURA HALALI -28*
*Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%)
*Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%)
*Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%)
Haya ndiyo majina yatakayo kwenda Baraza Kuu la CHADEMA.
Baada ya matokeo haya nikaanza upelelezi kujua nini kimejiri Kaka Tundu Lissu azidiwe kura na mh Lazaro Nyalandu.
Uchunguzi wangu umebaini kuwa Mhe Aikael Mbowe na Nduguye Mhe Godbless Lema ndiyo walikua nyuma kuhakikisha kuwa Lazaro Nyalandu anamzidi kura za maoni Mhe Tundu Lissu katika maoni ya Kamati kuu.
Kwa ufupi naambatanisha chat za Whatsapp kati ya Mhe Lema na Mhe Mbowe baada ya matokeo ya kura hizo.
Na nina ushahidi thabiti watu wanne waliomnyima kura Lissu ni wafuatao.
1. Freeman Mbowe.
2. Godbless Lema.
3. Halima Mdee.
4. Esther Bulaya.
Pia nichukue wasaa huu kuwajulisha Mhe Esther Matiko na kaka Patrick Ole Sosopi kuwa makini katika siasa zao ndani ya chadema Mwamba hawatazami kwa jicho rafiki.
Wajumbe wa baraza kuu na mkutano mkuu wa chadema taifa wanaopinga mpango wa Mwamba kumuunga mkono Lazaro Nyarandu na ambao wanamuunga mkono mh Tundu lissu,mjiandae pia kisaikolojia yajayo yanafurahisha.
Sasa nimeanza kuamini kwanini wanachama wa chadema na viongozi wengi walikuwa wanatimkia vyama vya Nccr mageuzi na ccm wakisema Kuna tatizo naona sasa linaanza kuwa dhahiri machoni kwa watanzania na wanachama wa chadema.
Ni wenu.
Huo ni uongo. Wajumbe wote hupigia wagombea wote kwa pamoja na mara moja tuAnadai kila mjumbe kapiga kura 3. Yaani kwa watu 3.
Acha uongo na ramli chonganishiWapiga kura 28 walipewa karatasi 28 zikiwa na majina 8. Kila mpiga kura alitakiwa aweke TICK ✓ kwenye majina matatu tu. Karatasi zilipokusanywa Nyalandu alikuwa na TICK ✓ 28 Kutoka kwa wote. Lissu alikuwa na TICK ✓ 24 kutoka kwa hao 24 Kati ya 28. Na mwingine jina silijui alikuwa na TICK ✓ 23 kutoka kwa hao 23 Kati ya 28. Kumbuka walitakiwa wapatikane tatu bora Kati ya 8. Umeelewa!??
Kamati ingekua wehu kuchagua mtu anayetangazia nia ughaibuni, lile ni tusi!Ndugu wana bodi.
Kupitia vyanzo vyangu makini vya kimtandao nimepokea taarifa kuwa kamati kuu ya CHADEMA imefanya uamuzi kwa kupiga kura. Uamuzi wa kupendekeza nani awe mpeperusha bendera mkuu wa CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka huu 2020. Yaani mgombea Urais.
Ukweli ni kwamba kati ya watu 8 waliorudisha fomu ni watu wawili tu wenye ushindani.
1. Mh Tundu Lissu
2. Mh Lazaro Nyalandu.
Hawa wote ni wenyeji wa mkoa wa Singida na wote ni wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa.
Binafsi nilishitushwa sana kiasi cha kubadilisha mapigo ya moyo wangu baada ya kuona matokeo ya kura za maoni za kamati kuu ya CHADEMA.
Kilichonishitua ni kuona ``think tank`` ya CHADEMA inaamini Mhe Lazaro Nyalandu ni bora kuliko Mhe Tundu Lissu aliyekinga chama kwa damu yake na risasi 16 ambazo mpaka sasa hatujajua Kama kweli zilikuwa zinampiga au malaika walitega migongo yao ndio ikapigwa lisasi kwa niaba yake? Kwasababu mpaka sasa watanzania na wanachadema bado wanajiuliza huyu jamaa aliponaje!!
Bila kutia chumvi yafuatayo ni matokeo ya tatu bora za maoni ya kamati kuu ya CHADEMA
KURA ZA WAGOMBEA URAIS JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KAMA ZILIVYOPIGWA NA KAMATI KUU YA CHADEMA, DAR ES SALAAM, JULY 22, 2020
*IDADI YA KURA ZILIZOPIGWA - 29*
*KURA ILIYOHARIBIKA - 1*
*IDADI YA KURA HALALI -28*
*Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%)
*Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%)
*Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%)
Haya ndiyo majina yatakayo kwenda Baraza Kuu la CHADEMA.
Baada ya matokeo haya nikaanza upelelezi kujua nini kimejiri Kaka Tundu Lissu azidiwe kura na mh Lazaro Nyalandu.
Uchunguzi wangu umebaini kuwa Mhe Aikael Mbowe na Nduguye Mhe Godbless Lema ndiyo walikua nyuma kuhakikisha kuwa Lazaro Nyalandu anamzidi kura za maoni Mhe Tundu Lissu katika maoni ya Kamati kuu.
Kwa ufupi naambatanisha chat za Whatsapp kati ya Mhe Lema na Mhe Mbowe baada ya matokeo ya kura hizo.
Na nina ushahidi thabiti watu wanne waliomnyima kura Lissu ni wafuatao.
1. Freeman Mbowe.
2. Godbless Lema.
3. Halima Mdee.
4. Esther Bulaya.
Pia nichukue wasaa huu kuwajulisha Mhe Esther Matiko na kaka Patrick Ole Sosopi kuwa makini katika siasa zao ndani ya chadema Mwamba hawatazami kwa jicho rafiki.
Wajumbe wa baraza kuu na mkutano mkuu wa chadema taifa wanaopinga mpango wa Mwamba kumuunga mkono Lazaro Nyarandu na ambao wanamuunga mkono mh Tundu lissu,mjiandae pia kisaikolojia yajayo yanafurahisha.
Sasa nimeanza kuamini kwanini wanachama wa chadema na viongozi wengi walikuwa wanatimkia vyama vya Nccr mageuzi na ccm wakisema Kuna tatizo naona sasa linaanza kuwa dhahiri machoni kwa watanzania na wanachama wa chadema.
Ni wenu.
Itakuwa polisisiemu wamefanya yao au mnasemaje bavicha?Mleta uzi where is your brain?🤔
Let's meet at the top, cheers 🥂
Propaganda mfu. Mkajipange upyaNdugu wana bodi.

Pumbafu. Habari za uhakika za LumumbaHabari za uhakika kutoka ndani ya kamati kuu ya CHADEMA jana ni kuwa wajumbe walipiga kura za kupendekeza majina matatu yatakayofaa kupeperusha bendera ya Chama hicho katika uchaguzi Mkuu. Kila mjumbe alipiga kura 3
Matoke ni kuwa Lazaro Nyalandu aliongoza kwa kura zote zilizopigwa na Lissu alikosa kura 4.
Mpinzani namba moja wa Lissu ni Mbowe.
Bado Lissu Mbowe amalize kazi nilishaandikaga humu.
Tusubiri Baraza kuu na Mkutano Mkuu!
Mkuu nimeangalia Id yako ni ya March, nyingi ya id za kuanzia machi mpaka sasa ni za wanaccm, na ziko kwa mpango maalum wa kuitetea ccm wakati wa uchaguzi mkuu, na kuleta sintofahamu na uchonganishi ndani ya cdm.
Tufanye ni kweli usemayo, lakini uchaguzi wowote ni lazima kuwe na wapiga kura, na kila mtu anaweza kumchagua amtakaye au anayemuamini. Hapo kuna kosa gani. Isipokuwa sisi wapiga kura wengi wa upinzani tuna imani na Lisu. Hivyo maamuzi yoyote nje ya Lisu cdm wajue wamepoteza.
Ni kweli. Msikilize hapa Nyalandu akikiri.Pumbafu. Habari za uhakika za Lumumba
Siyo uzushi Ni kweli. Hata Nyalandu amekiri mwenyewe wakati anahojiwa na Jenerali online. Nenda Youtube mahojiano yapoMods zikiletwa habari za uzushi kuizushia Chadema wanakausha lakini zikizushia CCM uzi unafutwa na mleta uzi anakula spana.
Nyalandu kakiri leo. Nenda Youtube utaona mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu.Kwa maoni yangu, kwa upande mmoja, kuna maswali ya kuuliza vyanzo vya habari hii ya mleta mada. 1) Kura zilizopigwa zilikuwa za siri au hapana? 2) Kama zilikuwa za siri, inakuwaje mtu mwingine kujua nani kampigia nani kura? 3) Kama taarifa hii ni ya kweli, kura iliyoharibika ilikuwa ya nani au kwa vile iliharibika mwenyewe hajulikani? Nikipata majibu ya maswali haya, naweza kuipa habari hii 'the benefit of the doubt'. Kwa upande mwingine, kwenye kupiga kura hakuna mantiki na sababu ya kumlaumu mpiga kura kwamba kwa nini kampigia 'A' na hakumpigia 'B' kwa sababu hakuna mwenye haki zaidi kati ya wapigiwa kura. Upigaji kura ni 'very subjective' au 'personal' unless kuna influence fulani. Kura ikishapigwa imepigwa na it's useless kumtafuta mchawi. Hapa nimechangia katika mkutadha kwamba 'kupiga kura ni uamuzi wa mpiga kura' na mtu hawezi kulaumiwa kwa kumpigia fulani kura na kumnyima mwingine.
Walikuwa wanapiga kura tatu tatu kila mmoja. Nenda Youtube uone mahojiano ya Nyalandu na Jenerali Ulimwengu.Hebu nisaidieni. Kura halali zilizopigwa ni 28. Mgombea Nyalandu alipata kura zote 28! Mgombea Lissu alipata kura 24! Wapiga kura walikuwa wanapiga kura ngapi ngapi? Kwa mahesabu hayo inaonekana HAIKUWA MTU MMOJA KURA MOJA bali nikupiga AS MANY TIMES OR TO VOTE AS MANY TIMES AS YOU WANT! Hapa naomba ufafanuzi jamani!
Mkubwa thread ni ya kweli. Walipiga kura tatu tatu kila mtu. Sikiliza mahojiano Nyalandu anakiri mwenyewe wakati anahojiwa na Jenerali Ulimwengu.Hivi siku hizi JF imekuwa kijiwe au niseme nini? Is this still a reputable forum? Hii thread ni ya uongo na mbaya zaidi hizo asilimia zimewekwa hapo hata mbwa koko hawezi shindwa hesabu hiyo. Wapiga kura 29 moja iharibike halafu eti kila mmoja apate hizo asilimia zilizowekwa hapo? Ama kweli nilijisemea kuwa IF niliyojiunga 2008 just after kufuata kwa Jambo Forum siyo hi ya leo. Kitendo cha kutangaza kaxi waziwazi na kujaza watu wenye utata ndiyo ilikuwa mwisho wa ubora wa Forum hii.
Basi nenda YouTube u-search mahojiano ya Ulimwengu na Lazaro.Hizi clip zako kwangu hazichezi, seems your file format is not supported in my Android file format.
Basi nenda YouTube u-search mahojiano ya Ulimwengu na Lazaro.
Search kwa kutumia maneno ''
EXCLUSIVE: Uhuru wa Bunge |Mahakama |Twiga |Haki ya Kumiliki Ardhi | Punguzo la Kodi |Katiba Mpya!
Special ni kuwa wengi hawaamini kuwa hii thread ina ukweli. Hivyo naonyesha kuwa ni legimate! Nothing more!Nitayapata YouTube, Ni nini hasa nikajionee huko, maana mimi sina tatizo na upigaji huo wa kura. Au kuna kingine special?