LGE2024 Mbowe anazungumza na Watazania muda huu makao makuu ya CHADEMA Dar es Salaam, akitoa tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Subiri Mkuu!!!! Ngoja kwanza huyu Mmachame aachie wadhifa halafu watu Kama kina Lissu na Heche waanze kazi ndio utajua kuwa tulichelewa sana kupata maendeleo kwenye hili Taifa
 
Baada ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe alihojiwa na Al Jazeera news Lakini ni ile ya Man to man

Sasa hii ya BBC, Al Jazeera, DW, Islamic Media nk kwa pamoja kuhudhuria hii press ya Leo ndio Nimeshangaa sana 🐼

Ngoja tuone
 
Chama kubwa.
 
mbona havisikiki jamani, hatutaki kusimuliwa
 
Muda wa kuanza ndio wanatengeneza mitambo hakuna chama hapa ni kikundi cha wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…